Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Nina rafiki yangu wa muda mrefu sana yeye anafanya kazi mzuri sana serikalini tumezoeana sana sana sasa ilipita mda sijaenda kwake juzi kati aliniita uku akilalamika umenitupa mdogo wangu utaki kuja kwangu ndipo nikafunga safari juma mosi kwenda kwake huko Goba
Nimefika mida ya mchana tumekaa sasa nikaona kuna kitu hakipo sawa ndipo nilipo mwambia broo unaniangusha
Inakuwaje una miaka kumi kazini af bado una godoro la fut nne na kitanda cha futi nne na unakaa peke yako? Ushawai jiuliza siku uki umwa marafiki zako wakikuleta hapa kwako af wakakuta unalalia kitanda hiki wataondoka na picha gani? Kweli unashindwa nunu kitanda cha sita kwa sita au tano kwa sita? Alikaa kimya
Baada ya kutoka hapo alini block sasa hapo kosa langu mimi liko wapi?