Kosa langu hapa lipo wapi?

Kosa langu hapa lipo wapi?

Nina rafiki yangu wa muda mrefu sana yeye anafanya kazi mzuri sana serikalini tumezoeana sana sana sasa ilipita mda sijaenda kwake juzi kati aliniita uku akilalamika umenitupa mdogo wangu utaki kuja kwangu ndipo nikafunga safari juma mosi kwenda kwake huko Goba

Nimefika mida ya mchana tumekaa sasa nikaona kuna kitu hakipo sawa ndipo nilipo mwambia broo unaniangusha

Inakuwaje una miaka kumi kazini af bado una godoro la fut nne na kitanda cha futi nne na unakaa peke yako? Ushawai jiuliza siku uki umwa marafiki zako wakikuleta hapa kwako af wakakuta unalalia kitanda hiki wataondoka na picha gani? Kweli unashindwa nunu kitanda cha sita kwa sita au tano kwa sita? Alikaa kimya

Baada ya kutoka hapo alini block sasa hapo kosa langu mimi liko wapi?
Kosaa lako ni kumpa ushauri ambao anaujua kabisa ila na mipango yake
 
Kosaa lako ni kumpa ushauri ambao anaujua kabisa ila na mipango yake
Ndio miaka kumi anapanga nini kununua gorofa? Maana alikuwa na alteza ilikuwa inaendeshwa na kunguru mpaka nikamwambia uza gari kama uwezi miliki
 
Hauna kosa mwamba, inaonesha huyo mwanao wa ukweli sio vibaya ulivyomchana

Halafu wacha kulialia tena fanya kama hamna kilichotokea
 
Mimi ndo bro wako wa goba, nimekublock sababu dogo ulitoa maneno ya shombo kwa mtu mzima kama mimi.kuna kauli ulisema "bro oa hachakupiga nyeto" hii ndo kauli iliyofanya nikumind
20230304_205824.jpg
 
Hauna kosa mwamba, inaonesha huyo mwanao wa ukweli sio vibaya ulivyomchana

Halafu wacha kulialia tena fanya kama hamna kilichotokea
Mimi nimekausha kimya
 
Unapoenda kwa mtu hautakiwi kufunua funua mdomo kuhusu maisha ya hapo. Mfano mtu, haishi pamoja na familia yake kwa sababu za kiutafutaji, familia iliko kainunulia kila kitu cha muhimu. Yeye anaamua kuto- duplicate vitu kwa sababu tayari ana vitu hivyo tena vilivyo bora hasa sema ni somewhere kwake huko iliko familia, maana yake hapo anapoishi kigeto geto hana TV, hana friji, ana kikochi kimoja kimeisha, ndo kitanda cha futi 3.5 etc. Jamaa flani akiingia kwake ana mdharau, man grow up!

Maisha kila mmoja anapambana nayo kwa style yake.
 
Sawa
 
Wewe umempa ukweli ni vizuri, hapo ajitafakali, ulafiki Nikita kiama mema na kuambiana ukweli katika kuonyeshana njia
 
Nina rafiki yangu wa muda mrefu sana yeye anafanya kazi mzuri sana serikalini tumezoeana sana sana sasa ilipita mda sijaenda kwake juzi kati aliniita uku akilalamika umenitupa mdogo wangu utaki kuja kwangu ndipo nikafunga safari juma mosi kwenda kwake huko Goba

Nimefika mida ya mchana tumekaa sasa nikaona kuna kitu hakipo sawa ndipo nilipo mwambia broo unaniangusha

Inakuwaje una miaka kumi kazini af bado una godoro la fut nne na kitanda cha futi nne na unakaa peke yako? Ushawai jiuliza siku uki umwa marafiki zako wakikuleta hapa kwako af wakakuta unalalia kitanda hiki wataondoka na picha gani? Kweli unashindwa nunu kitanda cha sita kwa sita au tano kwa sita? Alikaa kimya

Baada ya kutoka hapo alini block sasa hapo kosa langu mimi liko wapi?
Kifupi hana akili huyo achana nae
 
Umefanya vizuri sana. Tatizo sisi wanaume tukiambiana ukweli tunachukiana na kununiana kumbe tunaelekezana ukweli kuhusu maisha yetu sasa mtu umeajiriwa tena serikalini mshahara wa uhakika hata kama mdogo(imani za matajiri wengi wa JF) lakini unaendelea kuishi kiloko godoro la futi 3 na kitanda kama uko mochwari . Bastardo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda namna ya kuwasilisha ujumbe ilikuwa si nzuri, kama ni washkaji haswa Yani unajua Kuna ule ushkaji ambao ni kama ndugu wa familia Hadi mnatukanana na Wala hakuna anayemind ndo kwanza vicheko aina hii ya ushkaji ndiyo nzuri ya kurekebisha vitu kama hivyo direct kwamba " hichi kitanda hebu badilisha Mzee, acha ufala Hadi muuza maji anakushinda" then vicheko.

Kuna ule ushkaji wa kufahamiana tu ka mabroo, mmekutana tu mkaanza urafiki ambao uko deep nao ila si wa kindugu ule, Kuna namna ya kutumia lugha kusolve mambo kama hayo ya rafiki yako, kumfikishia ujumbe.

Ukiona huna ule urafiki wa kindugu na mtu basi achana na mambo ya kumshauri directly, kutumia lugha ya Moja Kwa Moja kwenye mambo kama hayo, watu wanapitia changanoto nyingi kwenye maisha labda huyo ana mipango yake mizuri nk, watu wengi wako weak emotional hivyo ni rahisi kuudhika na kukasirika pia,Bora hata ungemwambia bro "Kuna kitanda kinauzwa cha futi sita nk, kama utakitaka nimcheki jamaa, nimekicheki kizuri kinoma, ukikidaka hichi itakuwa unyama bro mana jamaa alinicheki nimtafutie mteja nkaona ngoja nimwambia bro wangu hapa Yani ile lugha za vijana na mbwebwe za maneno kibao ya kijanja ya kuzuga, yy ni mtu mzima ataelewa.
 
Ulikwama mkuu,sasa kitanda au godoro ni kitu gani watu wanalalia mkeka halafu safi tu...
 
Kuna namna ulimsaidia sema namna ulivyomfikishia ujumbe ulikuwa c mzuri....hapo ulimsaidia sanaa..cc hata kitaa hapa Kuna mwana nae alikuwa analalia chini tukawa tunamchana kuwa baridii yabisi utakuja ikuue...na alivyo mhaya alienda chukua 6×6…..kwa ile aibu tu kingpatikana Cha 7×7 angechukua
 
Back
Top Bottom