Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #41
Wewe mdio umeongea pointHuyo hakuwa rafiki yako. Rafiki yako hata kama umemkera labda angekutukana na kukupa sababu kwann yupo hivyo mpaka sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mdio umeongea pointHuyo hakuwa rafiki yako. Rafiki yako hata kama umemkera labda angekutukana na kukupa sababu kwann yupo hivyo mpaka sasa.
Si unataka kukionaHainihusu
Kosaa lako ni kumpa ushauri ambao anaujua kabisa ila na mipango yakeNina rafiki yangu wa muda mrefu sana yeye anafanya kazi mzuri sana serikalini tumezoeana sana sana sasa ilipita mda sijaenda kwake juzi kati aliniita uku akilalamika umenitupa mdogo wangu utaki kuja kwangu ndipo nikafunga safari juma mosi kwenda kwake huko Goba
Nimefika mida ya mchana tumekaa sasa nikaona kuna kitu hakipo sawa ndipo nilipo mwambia broo unaniangusha
Inakuwaje una miaka kumi kazini af bado una godoro la fut nne na kitanda cha futi nne na unakaa peke yako? Ushawai jiuliza siku uki umwa marafiki zako wakikuleta hapa kwako af wakakuta unalalia kitanda hiki wataondoka na picha gani? Kweli unashindwa nunu kitanda cha sita kwa sita au tano kwa sita? Alikaa kimya
Baada ya kutoka hapo alini block sasa hapo kosa langu mimi liko wapi?
Ndio miaka kumi anapanga nini kununua gorofa? Maana alikuwa na alteza ilikuwa inaendeshwa na kunguru mpaka nikamwambia uza gari kama uwezi milikiKosaa lako ni kumpa ushauri ambao anaujua kabisa ila na mipango yake
Nilitaka ukiambatanushe na bandiko lako ili kunoggesha uzi wako.Si unataka kukiona
Mimi nimekausha kimyaHauna kosa mwamba, inaonesha huyo mwanao wa ukweli sio vibaya ulivyomchana
Halafu wacha kulialia tena fanya kama hamna kilichotokea
SawaNilitaka ukiambatanushe na bandiko lako ili kunoggesha uzi wako.
Ahahahhahah ase oa mapema tule ubwabwa mzeeMimi ndo bro wako wa goba, nimekublock sababu dogo ulitoa maneno ya shombo kwa mtu mzima kama mimi.kuna kauli ulisema "bro oa hachakupiga nyeto" hii ndo kauli iliyofanya nikumindView attachment 2551224
Unapoenda kwa mtu hautakiwi kufunua funua mdomo kuhusu maisha ya hapo. Mfano mtu, haishi pamoja na familia yake kwa sababu za kiutafutaji, familia iliko kainunulia kila kitu cha muhimu. Yeye anaamua kuto- duplicate vitu kwa sababu tayari ana vitu hivyo tena vilivyo bora hasa sema ni somewhere kwake huko iliko familia, maana yake hapo anapoishi kigeto geto hana TV, hana friji, ana kikochi kimoja kimeisha, ndo kitanda cha futi 3.5 etc. Jamaa flani akiingia kwake ana mdharau, man grow up!
Maisha kila mmoja anapambana nayo kwa style yake.
Kifupi hana akili huyo achana naeNina rafiki yangu wa muda mrefu sana yeye anafanya kazi mzuri sana serikalini tumezoeana sana sana sasa ilipita mda sijaenda kwake juzi kati aliniita uku akilalamika umenitupa mdogo wangu utaki kuja kwangu ndipo nikafunga safari juma mosi kwenda kwake huko Goba