Kosa langu hapa lipo wapi?

Kosa langu hapa lipo wapi?

Huyo rafiki yako inaonekana hela anazopata zinapotea bure tu bila kufanya jambo la maana,ndio maana kaumia kwa wewe kumwambia ukweli,angekua na mipango yake mingine inayomfanya asilale sehemu nzuri kwa afya yake asingeumia hivyo na kukublock,angekua na mipango mingine angekuambia tu kwani wewe ni rafiki yake wa kitambo.
 
Hana mipango mzee huyu alinunua gar alteza ikawa inapigwa na vumbu tu mpaka kauza
 
Mtu wa aina hiyo hawezi kuwa na msaada kwako, halafu pengine mwongo tu, kwa namna unavyomuelezea ni nani wa aina hiyo anataka tembelewa weekend? Maisha yako kasi sana, huo mda hakuna

[emoji23][emoji23][emoji23] sijui yeye anawaza nini that why nimejaribu kumfikirisha atambue kuwa yupo gizan wengine labda wanaogopa mwambia
 
Back
Top Bottom