Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #81
Kulalia 5*6 ndio mafanikio? Masikini huwaza kimasikini.
Penda ndani kwako mzee acha kuhalalisha ukweli kuwa uongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulalia 5*6 ndio mafanikio? Masikini huwaza kimasikini.
Kaa mbali na mtu asiyekuwa na maono, pia usingemshauri maana hayo ni mambo yake, mimi hata sijui kama kuna baso kitanda cha 4x6 kwa mtu mzima
Sawa ngoja nikae mbali
Huyo rafiki yako inaonekana hela anazopata zinapotea bure tu bila kufanya jambo la maana,ndio maana kaumia kwa wewe kumwambia ukweli,angekua na mipango yake mingine inayomfanya asilale sehemu nzuri kwa afya yake asingeumia hivyo na kukublock,angekua na mipango mingine angekuambia tu kwani wewe ni rafiki yake wa kitambo.
Mtu wa aina hiyo hawezi kuwa na msaada kwako, halafu pengine mwongo tu, kwa namna unavyomuelezea ni nani wa aina hiyo anataka tembelewa weekend? Maisha yako kasi sana, huo mda hakuna
Nashangaa watumishi wa sirikali Wana hasira sana😀Wanahasira hao
Nashangaa watumishi wa sirikali Wana hasira sana[emoji3]