Benbulugu
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 852
- 1,236
Comments yakarne hii mkuu kongole sana.nilichogundua wachangiaji wengi wanadhani yakua undugu nihiari bali undugu niwajibu,Hatukuomba kuzaliwa ktk familia au ukoo flani bali tumejikuta tu-sehemu yao hivyo niwajibu wetu kushiriki shuguli za ki-ndugu hata kama kuna makandokando kiasi gani kwani kuna siku utawahitaji hata kama uko busy naratiba zako kiasi gani.kama vile kufiwa ww nahao unaowaita watu wako(mkeo,mmeo,mtoto),kuugua au kupata ajali,uzee,kufilisika(usizani wao ndio wanafilisika tu),kupoteza kazi inayokupa kiburi(hapa nnamifano yandugu waliokua busy naratiba zao sahiz upepo hauko upande wao).kiufupi hii dunia nikuvumiliana tu ,unaweza sema unakomaa na mzazi wako tu lkn kumbuka huyo mzazi hajakuzaa pekeyako ,utakutana nandugu zako hapo ili mjadili namna ya kumlea mzazi wenu,utakutana na akina baba mdogo au mmaamkubwa sijui shangazi ambao huyo mzazi wako wao wanamutia mdogo wao,utakwepea wapi ktk circle hyo,zaidi ww ndio utakua unajikomba kwao tu.pengne hata huyo mzazi anaweza akakutaa pia utafanya nn???Subiri uugue uone hao kijiji cha tatu kama watachukua bicycle kuja kukuuguza au kukusaidia!
Kiufupi ishi na ndugu zako kiupendo pamoja na makandokando yao usiwatenge hata wakikutenga. Wajenge, waunge na wasaidie pia kuna siku watajirekebisha labda kama ni wachawi.