Kosa langu nini ni Vannesa?

Kosa langu nini ni Vannesa?

Wacha tuone hii kama sio chai ifananayo na ya insaida
 
Mweee, sema umeamua kutumia hilo jina tu we mtu
Hapana ni jina rasmi kabisa . Nilishawahi kuiandikaga Twitter nikiwa na account yenye above 15k followers ilipata retweet above 100 ilipata response nzuri. Hii nimeandika upya account hiyo niliuzaga . Najutia sana nimeshindwa kukuza account nyingine kwa ubize mwingi. Hii ni simulizi ya kweli kabisa
 
Kumbe na kina mangi mnajuaga kuzama penzini...okay wacha tuone
 
KOSA LANGU NINI NI VANNESSA [emoji174]

upo wapi Vannesa ni kusini au mashariki kaskazini au mashariki naona kama utani vile.
Kosa langu nini ni vannesa

Ilipoishia niligoma kuvua jeans tuogelee baada ya dushe kusimama mda wote baada ya kumwona kavalia vinguo vya kuogelea tusonge

Sehemu ya 4[emoji173][emoji172]


Alielewa alinicheka mpaka aibu ikazidi . Akizidi kunibembeleza nivue jeans tuingie kwenye maji lakini wapi niligoma kabisa . Alikuja spidi na kunikumbatia mwamba nilihisi raha ya ajabu kwa jinsi huyu mtoto wa kike alivyokuwa ananipelekesha . Muda wa kula akawa ananilisha na mimi na mlisha watu kadhaa wakitukodolea macho nikitamani kwenda kuwafukuza wasije wakamwiba kipenzi changu Vannesa . Niliona fahari sana kupita nae kokote nilikopita nae. Tuliagiza vinywaji baadae tukawa tunapiga story huku tukinywa mdogo mdogo Utani ukitamalaki na kukumbatiana
Baadae akarudi kwao na mimi nikaenda getto. Kwao hakukuwa mbali na getto langu .

Getto hili niliachiwa na binamu yangu alisoma chuo hicho hicho nilichosoma mimi . Lilikuwa getto kali kinoma alipomaliza tu alipata deal la kwenda nje ya nchi kwahiyo getto na vitu vyote nikamiliki mimi. Ndani kulikuwa na redio kali Tv kifriji feni kabati la nguo na kitanda safi , godoro tu ndio nilinunua godoro lilichukuliwaga na mdogo wake. Kwa Vannesa ilikuwa ni kituo cha pili kutoka kwangu . Nikishuka mimi kituo kinachofuata tu na yeye anashuka hivyo hata kutembeleana bila kutumia nauli ingewezekana .

Baada ya kutoka beach siku ya jumamosi jumapili muda kama wa saa 9 alasiri Vannesa alinipigia na kuniambia anakuja kwangu nilihamaki kidogo. Nikamuuliza anapajua akasema nisijali yeye anakuja akakata simu . Sasa baada ya kama lisaa nikiwa bado siamini kama atakuja nikiwa nishaweka mazingira sawa na kujaribu kujitoa kipresha maana ni kama kiliniingia kipresha cha aina yake baada ya Vannesa kuniambia anakuja

Gafla Vannesa akafika kweli akagonga mlango akaingia akanikumbatia akanikis lahaula!!!.
Nilichanganyikiwa sana confidence ilisoma sifuri kabisa . Alinipigisha stori kunichangamsha lakini bado sikuwa najiamini sana . Hapo alikuwa amekaa kwenye sofa mimi nimekaa kitandani kama sina amani kabisa zaidi ya dakika 40. Hapo huwezi kuamini kama ndio mimi kuwa namtamani Vanessa mpaka boxer inachafuka ute wa uchu . Vanessa akainuka akaja kukaa karibu yangu ni kama kahofu kaliongzeka pia . Naona kabisa kuna madhara mwanaume kuchelewa kusakata mbususu. Ukiona toto lako la kiume limekaa kiboya haswa baada ya kumaliza kidato cha nne jaribu kumpigisha stori za wanawake . Ukimtania vipi hauna demu wewe . Muulize kwa mfumo wa utani tu ulivyo handsome unakosaje demu. Jaribu kumchangamsha watu wa LGBT wasije kuharibu feeling zake dunia kwa sasa imeharibika na wanaowezwa wengi ni wavulana ambao hawajawahi kuonja utamu wa mbususu . Tuendelee

Mrembo alinikumbatia tukakiss Kwa muda mrefu tukiwa kimya kabisa karibu dakika 10. Nafikiri alitumia njia hiyo kunileta mchezoni lakini wapi bado mwili uligoma kama Yanga walivyogomaga kuingiza wachezaji uwanjani siku ile .[emoji23]

Bado confidence ilikuwa inasoma sifuri. Akanivua singlend . Nilikuwa nimevaa ya basketball [emoji459] ya Michael Jordan na bukta yake. Akaniachakifua wazi mimi nikiwa nimekaa kama boya tu. Naye akavua na kubaki na chupi tu kidogo nikajiongeza kuvua ile boksa. Nilijishangaa sijasimamisha dushe nikataka kurudi kukaa baada ya kusimama ili kuvua bukta akaniwahi kabla akanikumbatia tukakiss tena . Kama ni kukiss tu sikuhiyo kiss lilitembezewa kuliko kawaida na ngumu kujirudia . Vanessa hakunichoka mwanafunzi wake wa mapenzi niliyeshindwa kuelewa somo kwa haraka . Akawa sasa ananipapasa huku kanikumbatia na mimi nikajiongeza kiduchu kumpapasa pia ...........

Kosa langu ni nini Vannesa?

Sehemu ya 5 inakuja . Hii kesho naimalizia
Mapema.......
 
Kumbe na kina mangi mnajuaga kuzama penzini...okay wacha tuone
Yaani ukitaka kutuzamisha kigezo cha kwanza usigusie ishu ya hela . Usiwe na njaa mwaka wa 1, yaani tunazama mpaka na viatu aisee
 
Back
Top Bottom