Kosa na Mama Samia ni kupuuza wazee sasa nani atakuongelea! mwenye busara

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Kosa na Mama Samia ni kupuuza wazee sasa nani atakuongelea! mwenye busara. wazee kama Warioba na Kimiti wangeweza kuongea na kunyamazisha vijana lakini dharau na kejeli za viongozi wa CCM na ubinafsi wa Raisi Mstaafu Kikwete sasa nchi haina mtu mmoja wa kuongea na kusikilizwa mwenye busara. Inabidi tumpigie magoti mzee warioba atupe mwelekeo wa kitaifa
 
Polepole tunaweza msikiliza wakimwachia ila si namna yoyote Ile isipokuwa asimame na haki na ukweli kama alivyotusanua.
 
Achana nae chawa tu

Nchi hii mzee stateman alibaki mmoja tu na ni Warioba.

Hadi Butiku alikengeuka baada ya kupewa kitita na Abdul na kuhaidiwa kuongoza kamati ya maridhiano baada ya Uchafuzi wao huu
..umemsikiliza Mzee Paul Kimiti hivi karibuni?
 
Back
Top Bottom