Kosea vyote, usikosee mume

Kosea vyote, usikosee mume

Kwaiyo akikutembelea ndo alale hapo ??
Yaan wewe na mke wako mmelala kitandani alafu Mama yako naye amejikunja chini hapo, ukimshika tako mkeo bi mdashi anajifunika uso [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe hujui chochote!!..watu walianza maisha wanalala chini!!..Mama akija nae analala chini!!.. unadhani kuoa ni kugegeda tu!!..Chumba kimoja kinaweza kulaza wewe na mkeo pamoja na wazazi wako pia mtoto akapata nafasi hapo hapo!!..
 
Kosea yote usikosee mke wa kuowa
Mfano tu uyu mtoa mada wengine wazazi wetu especially mama wameishi kwa shidah sana ili tusome tufanikiwe leo unafanikiwa unataka wew uishi vzr kabla ya yeye.ujui mama kapigana Vita gani na mimi.mama mzazi anastaili raha zote kabla ya kupata raha wew mke

Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
 
Aisee aikwambie mtu kosea kuchagua nguo, utabadilisha, kosea rafiki utawapotezea lakini usikosee mume. Ukikosea mwanaume wa kuolewa nae tu, umekosea kila kitu.
Kikweli wanaume wa siku hizi, hawana uchungu hata kidogo na familia zao.

Utakuta mume ana mke na watoto lakini Bado
Jacquiline hivi wewe Mwanamke una akili timamu kweli?? umeamua kunianika humu ili iweje sasa? umeshindwa hata kuniita tuyamalize? mbaya zaidi unatumia jina lako halisi!! Nilisha gundua kitambo humu JF ni memba japo ulikataa! umo humu kitambo!

siku ile amekuja babako kutoka Kenya, uliingia bafuni ukaacha simu yako wazi, nikaingia n so ikajua hii avatar yako usibishe huyu ni wewe tu! mbona ndugu zako wanakuja? wanafanya watakavyo? najua unataka kuniendesha na hii ni tabia ya mama yako mzazi !!

km siyo kweli kwa nini Mama yako ali muacha Baba yako ghafla wakt mkiwa wadogo? akazaa kwingine?? kuumbe ndo mambo ya kijinga km haya! sikufichi umefuata tabia ya Mama yako na mie usipokaa vizuri ntakuacha km ulivoachwa na hao wengine!

Kwanza ulinidanganya umepewa Talaka na Mumeo wa ndoa kumbe hamna kitu!, huyu mtoto wako wa pili unaendaga kwa Baba yake kwa kificho na nyumba naijua usibishe, unasingizia eti uko zamu Nite shift, kuumbe kamaba tu! na ndo tabia yako!

Nimesikia una katabia kabaya hao waliotangulia unawafanyiziaga kizizi kazi zao ziharibike, ili uonekane wewe ndo mwenye nyota njema usibishe tulisha gundua haya sasa kwa nini mamangu asje kwangu? unaogopa nini km siyo kugundulika uchwi wako?

Huko ulikotoka walikushutumu uchawi, na leo unamuogopa Mama sababu alisha jua una kaasili hako!... mbona wewe nikitaka huduma ya gari unasema niende kuchukua kwenu? na mie hela kachukue kwa Mama yangu unaanza kulia lia! ngoma si droo!

Unataka Mama angu aondoke uanze kunilisha midawa Nasema Mama haondoki na mie ndo nalipa kodi ukiona vipi anza wewe!! unako jua km unarudi kwa mumeo sawa! sina kinyongo,

najua sana unaendaga, kumpa jamaa asafishe rungu mpka wkt mwingine mnagombana, lkn poa tu! nione mjinga ila yote yana mwisho, hela yangu ndo inakufanya bado upo upo! umeona ni bora JF wakupe suruhisho?

ndo maana ulikimbiwa na waume zako, kumbe mchezo wenyewe ndo km huu!! sema ukweli Jack acha rongorongo! Baba yake huyu mtoto wako wa mwisho huyu, yuko wapi? huna hata mawasiliano nae? why?? mjitabia! nimechukia sana kwa kweli, na hii naaifadhi,

ukiliamsha tu nampa mpaka Mama yako aone! Umeweka wazi na mie naweka wazi !! si umeyataka? hujatulia wewe nakwambia ...
 
Kosea yote usikosee mke wa kuowa
Mfano tu uyu mtoa mada wengine wazazi wetu especially mama wameishi kwa shidah sana ili tusome tufanikiwe leo unafanikiwa unataka wew uishi vzr kabla ya yeye.ujui mama kapigana Vita gani na mimi.mama mzazi anastaili raha zote kabla ya kupata raha wew mke

Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Huu ujumbe wako uwekewe na lamination kabisa
 
Jacquiline hivi wewe Mwanamke una akili timamu kweli?? umeamua kunianika humu ili iweje sasa? umeshindwa hata kuniita tuyamalize? mbaya zaidi unatumia jina lako halisi!! Nilisha gundua kitambo humu JF ni memba japo ulikataa! umo humu kitambo!

siku ile amekuja babako kutoka Kenya, uliingia bafuni ukaacha simu yako wazi, nikaingia n so ikajua hii avatar yako usibishe huyu ni wewe tu! mbona ndugu zako wanakuja? wanafanya watakavyo? najua unataka kuniendesha na hii ni tabia ya mama yako mzazi !!
Kmeumana kma n kweli maan wabongo htushindwi kujiita mme wa Jacky hta htumjui anyway ngoja nkae pembeni[emoji3571][emoji3571][emoji3571]
 
Hoja zako zina mashiko hasa.

Ukweli ni kwamba Wanaume walio wengi huingia katika ndoa bila ya kujua majukumu yao ipasavyo. Tatizo ni kwamba sisi Wanaume tunaoa kwa kusukumwa na nyege.

Hilo ni tatizo kubwa sana sababu mtu anayesukumwa na nyege huwa hajui majukumu yake mengine. Anachokijua yeye ni kutuliza tu nyege zinazomsumbua. Sasa ukiolewa na Mwanamume kama huyo andika maumivu.

Na wanaume wa namna hiyo ndiyo wengi sana, tena ndiyo hao mnaowaita "romantic".

Yes, siku za mwanzo, sababu ya nyege zake kumtawala, wewe utamwona ni romantic sana na kuona ndiye anakufaa maishani.

Baada ya miaka 2 au 3 ya ndoa ndiyo utajua kuwa ulinunua mbuzi kwenye gunia.
 
Kwanza wewe sio muoaji bali muolewaji,Hauna jeuri ya kuchagua mwanaume kana kwamba wewe ndiye muoaji.Pili anayeamua ndoa ni mwanaume sio wewe mwanamke,kama ni makosa anafanya mwanaume kwa kukuoa wewe sio kwa wewe kuolewa naye! Wewe kazi yako ni kusubiri kuolewa yaani kukaa kusubiri mwanaume atakapofanya maamuzi kuoa ndipo akuoe!
 
Back
Top Bottom