Kova ndiyo kachoka namna hii?

Kova ndiyo kachoka namna hii?

Hivi unafahamu stahiki za Commissioner wa Polisi mstaafu wewe? Kitu pekee ambacho kinaweza kumpa msongo ni madaraka tuu lakini sio fedha.
Hawa hawana njaa kwa sababu wengi wao walishajenga na kuwekeza tokea wakiwa makazini,so mtu anakula penncheni tu hana wasiwasi.

Hawa stress zao ni power hawana tena.

Itabidi akienda kijiweni awe peke yake,hana bodyguard kama zamani anakuwa kama mnyonge wa mungu
 
Mzee kapendeza na Yuko fiti na ukitaka kujua Yuko fiti weka picha yake na ya baba yako ndo utajua nani kachoka na ni nini maana ya kuchoka
 
Back
Top Bottom