Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

Nani kajudanganya bongo akuna mtaalam wake yupo profesa Arusha tena hana miaka 40 bado young na moja ya project yake ni kutengeneza NANO FILTER kwaajili ya kuchuja maji ya kazikazini kutoa fluoride &phosphate, virus and bacteria, fluoride ambayo ilikuwa inawa affect mifupa na meno kupata kutu watu wa kazikazini na huyu jamaa anaoffice yake arusha
 
Nampata huyo jamaa very well anaitwa Mr.Askwar Hilonga yule amesoma Chemistry ana PhD sio Nano Engineering,ila kwny Chemistry kuna udambwi dambwi wa nano Technology so sishangai .

Hiyo Nano Engineering ni jiwe kama jiwe lenyewe linajitegemea ndio maana jamaa kagusa kidogo tu Nano Technology imemtoa je angegoga jiwe kabisa PhD ingekuwaje.
Watu wa Nano ndio wanatengeneza mpaka Corona na Mazombi kuna kozi inaitwa Nano Medicine ni watu hatari sana.

Ukifuatilia science fiction movies ndio utawaelewa Nano Engineers vizuri kwamba ni watu gani!!
 
Naelewa kuhusu Nano coz nimesoma kidogo ilikuwa kama kachumbari kwenye kozi niliyosoma na huyu Mr nilivyoambiwa na lecture ambaye ni rafiki yake alisema kuwa jamaa amesoma Masters degree ya nano kbs na after hapo akafanya project ambayo ndio ikapelekea kupata uproffesa mapesa akiwa bado young.

Pia hata mm niko interested na mambo ya nano, wanasema NANO is new science na endapo ikiwa applicable 100% all scientist wanatakiwa kurudi shule kwani hii science ya sasa hitakuwa ime expire
 
Nano Engineering ni balaa jingine!
 
Ameandika articles zaidi ya 30 za Nano,ila ni mkemia.
 
Kuna dogo ana Bachelor ya Computer science nataka Masters akapige hiyo course. Chuo kipi ni kizuri kwa hiyo course ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…