Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

Aaahh *****[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jf mnawaponza madogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima kwako mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro Mechanical eng hawezi fanya kazi ya Biomedical acha kupotosha Bora useme electrical eng
 
Hàkuna cha hot cake mzee watu hawapati taarifa sahihi tu wanarishwa matango pori tu
 
Bro Mechanical eng hawezi fanya kazi ya Biomedical acha kupotosha Bora useme electrical eng
Biomedical Engineering: What is it and what are the career opportunities?
Kazi ni tofauti na kusoma chuo inaonyesha bado upo chuo ukishagraduate ndio utaelewa ,ukiwa engineer unaweza ukawa trained sehemu yeyote na ukafiti kuna watu walisoma engineer ss hivi ni ma auditors wengine wahasibu.Mechanical na Electrical wanatofautiana coz chache tu ukija kazini unaweza hata usione umuhimu wa hizo kozi.

Ongezea hapo hata mtu wa Physics na Electronics anaweza kuwa trained kama Biomedical engineer hakuna cha hu special kwneye biomedical engineering.
 
M
Kwan biomedical ni nini, biomedical lazima ichukue mechanical kidogo, electrical kidogo, biology kidogo, chemical kidogo, electronics kidogo, japo sijajua mtaala wa bongo ukoje lakini nchi za wenzetu ndio mtaala upo hivo, biomedical wabongo wengi ni warekebisha mashine za hospital ambazo zinaweza kurekebishwa na mechanical au electrical engineer pia. Lkini ukienda nje huko biomedical ana uwezo wa kuunda mashine zenyewe za hospitali ,viungo za vya bandia vya mwili, meno ya bandia
 
Umenena boss hata MTU wa Physics,electronics anaweza kufundishwa kazi za biomedical akawa biomedical engineer mzuri ndio maana nikasema haka ka Kozi kameanza juzi je kabla ya hapo nani alikuwa kama biomedical engineer hapa bongo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…