Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

Mdogo wangu mimi hapa kaka ako ni Procurement Cordinator kwenye shirika flani la Kimataifa(INGO) Nakushauri life is too short. Nimepiga Public Admin, nikaja nikaweka na PGD ya procurement. Salary za kwenye NGOs zinajulikana. Ila kwa mwezi kwenye michakato ya hapa kule hapa kule naweka mpaka 45milion kwenye accounts. Jiongeze.
Aaahh *****[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jf mnawaponza madogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdogo wangu mimi hapa kaka ako ni Procurement Cordinator kwenye shirika flani la Kimataifa(INGO) Nakushauri life is too short. Nimepiga Public Admin, nikaja nikaweka na PGD ya procurement. Salary za kwenye NGOs zinajulikana. Ila kwa mwezi kwenye michakato ya hapa kule hapa kule naweka mpaka 45milion kwenye accounts. Jiongeze.
Heshima kwako mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi za Biomedical Engineers hufanya yafuatayo:
1. Kudesign system na bidhaa, kama vile viungo vya ndani vya bandia, vifaa vya bandia ambavyo hubadilisha sehemu za mwili, na mashine za kugundua shida za matibabu.
2.Kurekebisha au kutoa msaada wa kiufundi kwa vifaa vya biomedical.

Kabla ya Kozi hii kutambulishwa na chuo cha Nelson Mandela Arusha miaka hii ya karibuni na kutoa wahitimu kazi hizi zilikuw zinafanywa na watu wa Mechanical na Electrical.

Kuajiri Biomedical engineer asiye na uzoefu kwenye hospital yako si bora kuajiri MEs au Electrical engineer atakupa options nyingi .Kibongo bongo pia Biomedical engineer labda kwny Biomedical equipments mambo ya internal organs bado sana.
Bro Mechanical eng hawezi fanya kazi ya Biomedical acha kupotosha Bora useme electrical eng
 
Ipo Tofauti kati ya Biomedical Engineering na Biomedical Equipment Engineering?

Maana DIT wanatoa Diploma ya Biomedical Equipment Engineering na kwa wanaosoma iyo course walimu wao wanaaambia ina fursa nyingi sana kwa ajira yani ni hotcakes kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hàkuna cha hot cake mzee watu hawapati taarifa sahihi tu wanarishwa matango pori tu
 
Bro Mechanical eng hawezi fanya kazi ya Biomedical acha kupotosha Bora useme electrical eng
Biomedical Engineering: What is it and what are the career opportunities?
Kazi ni tofauti na kusoma chuo inaonyesha bado upo chuo ukishagraduate ndio utaelewa ,ukiwa engineer unaweza ukawa trained sehemu yeyote na ukafiti kuna watu walisoma engineer ss hivi ni ma auditors wengine wahasibu.Mechanical na Electrical wanatofautiana coz chache tu ukija kazini unaweza hata usione umuhimu wa hizo kozi.

Ongezea hapo hata mtu wa Physics na Electronics anaweza kuwa trained kama Biomedical engineer hakuna cha hu special kwneye biomedical engineering.
 
M
Kwan biomedical ni nini, biomedical lazima ichukue mechanical kidogo, electrical kidogo, biology kidogo, chemical kidogo, electronics kidogo, japo sijajua mtaala wa bongo ukoje lakini nchi za wenzetu ndio mtaala upo hivo, biomedical wabongo wengi ni warekebisha mashine za hospital ambazo zinaweza kurekebishwa na mechanical au electrical engineer pia. Lkini ukienda nje huko biomedical ana uwezo wa kuunda mashine zenyewe za hospitali ,viungo za vya bandia vya mwili, meno ya bandia
 
Umenena boss hata MTU wa Physics,electronics anaweza kufundishwa kazi za biomedical akawa biomedical engineer mzuri ndio maana nikasema haka ka Kozi kameanza juzi je kabla ya hapo nani alikuwa kama biomedical engineer hapa bongo??
 
Back
Top Bottom