Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

Bro Mechanical eng hawezi fanya kazi ya Biomedical acha kupotosha Bora useme electrical eng
Kuna jamaa namjua ni muhindi alisoma Mechanical engineer na ni biomedical engineer kama unabisha profile yake hii hapa chini anaitwa Christopher Singh anafanya kazi National Institute of Health (NIH) Clinical Center ,Maryland pale Marekani.Huyu jamaa alikuwa kilaza sana Class ila ndio hivyo maisha hayana formula yupo zake kwa Trump pale anafanya yake.
https://www.linkedin.com/in/christopher-singh-63682978
 
Umenena boss hata MTU wa Physics,electronics anaweza kufundishwa kazi za biomedical akawa biomedical engineer mzuri ndio maana nikasema haka ka Kozi kameanza juzi je kabla ya hapo nani alikuwa kama biomedical engineer hapa bongo??
Yeah, huo ndio ukweli, hao watu wanafanya hiyo kazi kabisa, maana sidhani hata kama wana workshop za biomedical
 
The point is huo mechanical hawez rekebisha mashine paka apate shule juu ya mashine hiyo mfano mashine inahitaji marekebisho kwenye electronic part ,,mechanical anaweza rekebisha bila kuwa na knowledge ya electronics???? Mechanical anaeza fanya kazi Kama za installation za mashine ilo sikatai
 
Kama hamna Habari angalieni ITV saa mbili usiku mtazipata
 
Wee jamaa mbishi sana sijuhi kabila gani??umetolewa na mifano na evidence za mechanical engineers ambao ni biomedical engineers bado unabisha,ndio tatizo la kukalilishwa madesa ,hayo madesa yanaishia huko huko chuo ukiingia kazini unakuwa trained upya kwa kazi husika.Hata usome bachelor ya biomedical eng ukifika kazini unakuta dogo wa diploma ndio anakukaribisha anakufudisha kazi ndio maisha hayo relax usipanick .
 
Unanifurahisha Sana unaongea kitu kwa kusikia wakati Mimi nimekifanyia kazi pole sana
 
Kwa taarifa yako nimesoma hiyo Biomedical ayo unayoongea hayapo bongo hii
Taa
 
Promotion tu hizo elimu nayo siku hizi imekaa kibiashara ma vyuo yanashindana ,zamani ulikuwa hausikii chuo kikijitangaza kwenye maredio lakini siku hizi.
 
Unasubiri nini kutimkia Iran aisee au marekani au ndo unasubiri ajira ikufuate mlangoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…