B.a in Environmental economics and policy nilidhan nitafanya kazi NEMC kumbe hakuna hata ....Hello wana JF .
Unakuta umesoma kozi ambazo either ulijikuta tu comby imebalance au kwa kua zilikua na priority ya mkopo lakini hazikua chaguo lako.
Baada ya kuhitimu ukaingia kitaa ukakuta things on the ground are not as you thought. Kozi uliosoma haina market.
Please share your experience about life after college.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo moto mkubwa sigusi boss,nawaachie wenyewe!Bravoo
hapo hata mm nilikojifunzia, nyuma ya mzazi na mafundi wakija nyumbani
pigwa sana shot, nimeunguza bulb za watu, lkn uthubutu mpaka nikaaminiwa mtaani na ofisi za serikali
lkn moto mdogo sio ule wa Kilovolt
Ungesoma Environmental Science au Environmental Engineering.Kafanye masters ya Environmental & Occupational Health (EOH) pale Muhimbili kama vipi..!!B.a in Environmental economics and policy nilidhan nitafanya kazi NEMC kumbe hakuna hata ....
TANAPA wanamwaga mikazi kibao hao wa Mweka hawana shida kabisa.wale wa Tourism Management, Wildlife Management, Nature conservation, Forest mbona siwaoni kulia lia
UDSM kuna sehemu walichemka sana ,yaani kuna kozi walizipunguza mfano unakuta coz ilikuwa inaitwa Telecommunication and Electrical Engineering wakavunja wakafanya ni kozi zinazojitegemea,wakati vyuo vingine unakuta Telecommunication and Electrical Engineering kozi moja mfano St.Joseph University na baadhi ya vyuo.Telecommunications Eng kwakwel hapana....ka degree kameisha vzr pale mlimani, ee game linanilazimu nisome tena CCNA, CCNP na ni mpunga mlefu balaa...ka sio ujinga ni nini huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpo wawili Tanzania ila mwenzako alishawahi kuwa waziri mkuu, pambana mkuuNimesomea Masters in Atomic Engineering nje ya nchi kule Pakistani.
Binafsi nina ujuzi wa kutengeneza mpaka mabomu ya atomic na nishati ya atomic ila nipo kitaa nimetulia napiga udalali ,kupata kazi labda niende Marekani au Iran.
Nangoja siku Tanzania tutakapoanza tengeneza umeme wa uranium hapo ndio utaona Magufuli au rais ajaye ananipigia sim moja kwa moja nakula kitengo cha mabomu na umeme.
Wenye ujuzi huu kwa Tanzania tupo wawili tu mm na jamaa yangu na wote tupo kitaa hatuna habari.
Biomedical ni kozi mbovu? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Biomedical engineering
MD sh ngapi?
Tena mishahara si midigo kihivyo na hao wala bata chuoni huwa hawatoki "from no where" na kulipwa mamilioni, hujenga career, hijinoa zaidi, husoma tena, na "kudeliva"Samahani mkuu...
Unaposema mshahara mkubwa unamaanisha shngapi, na mshahara mdogo ni pesa ngapi..??
Sent using Jamii Forums mobile app
Level gani unataka kusoma??Pale CFR-Center for Foreign Relations wenyewe wanakiita chuo cha Diplomasia kipo kule Kurasini Dar Es Salaam karibu na ofisi za uhamiaji wao wanatoa kozi bora kabisa za jioni za mahusiano ya kimataifa.Mimi nishakulaga ajira kitaambo sema nataka ni apply awamu hii, nichukue mahusiano ya kimataifa.Ipoje hiyo wazee!
5/5
Asante mkuu! Naenda level ya digrii ya kwanza.Level gani unataka kusoma??Pale CFR-Center for Foreign Relations wenyewe wanakiita chuo cha Diplomasia kipo kule Kurasini Dar Es Salaam karibu na ofisi za uhamiaji wao wanatoa kozi bora kabisa za jioni za mahusiano ya kimataifa.
Kama teyari ushaajiriwa hiyo kozi itakuwa bomba sana kwako ila km bado sikushauri,nenda kapige evening class .
(CFR njooni mnilipe hata ya soda nimewapigia promo teyari) [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Sawa mkuu, yote uliyo yaandika ni sawa kabisa.Tena mishahara si midigo kihivyo na hao wala bata chuoni huwa hawatoki "from no where" na kulipwa mamilioni, hujenga career, hijinoa zaidi, husoma tena, na "kudeliva"