Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

The point is huo mechanical hawez rekebisha mashine paka apate shule juu ya mashine hiyo mfano mashine inahitaji marekebisho kwenye electronic part ,,mechanical anaweza rekebisha bila kuwa na knowledge ya electronics???? Mechanical anaeza fanya kazi Kama za installation za mashine ilo sikatai
Unaijua hii kozi inaitwa mechatronics,? Nayo ipo kwenye mtaala wa mechanical pia. Mechatronics, which is also called mechatronic engineering, is a multidisciplinary branch of engineering that focuses on the engineering of both electrical and mechanical systems, and also includes a combination of robotics, electronics, computer, telecommunications, systems, control, and product engineering.
 
Mungu wangu àghakan Kuna rafiki zangu wameajiriwa pale na nimesoma nao biomedical,,labda wale wa pakhistan useme na elimu yao itakuwa sio ya apa bongo
Hii hapa unaielewa vizuri, Mechatronics, which is also called mechatronic engineering, is a multidisciplinary branch of engineering that focuses on the engineering of both electrical and mechanical systems, and also includes a combination of robotics, electronics, computer, telecommunications, systems, control, and product engineering.
 
Mungu wangu àghakan Kuna rafiki zangu wameajiriwa pale na nimesoma nao biomedical,,labda wale wa pakhistan useme na elimu yao itakuwa sio ya apa bongo
Mechatronics ipo kwenye mtaala wa mechanical
Mechatronics engineers work in industries such as robotics, aerospace, medical and assistive technology, mining or defence, material handling, human-machine interaction, manufacturing, unmanned aerial and ground vehicles, and education
 
Accounting fursa zinapungua kutokana na accounting apps ambazo zinamwezesha layman kabisa kufanya double entry accounts ya biashara yake.
Fursa hazipungui mkuu Accounting sio kufanya double entry tu kuna kuandaa payroll, budget, TRA tax zipo kazi nyingi sana za kufanya hizo accounting zimerahisisha tu na ili uweze kuzitumia kwa ufanisihi zaidi ni lazima usome Accountancy bila hivyo itakua unacheza biko tu.
 
Nimesomea Masters in Atomic Engineering nje ya nchi kule Pakistani.
Binafsi nina ujuzi wa kutengeneza mpaka mabomu ya atomic na nishati ya atomic ila nipo kitaa nimetulia napiga udalali ,kupata kazi labda niende Marekani au Iran.

Nangoja siku Tanzania tutakapoanza tengeneza umeme wa uranium hapo ndio utaona Magufuli au rais ajaye ananipigia sim moja kwa moja nakula kitengo cha mabomu na umeme.

Wenye ujuzi huu kwa Tanzania tupo wawili tu mm na jamaa yangu na wote tupo kitaa hatuna habari .
Wale watu wa atomic kule Arusha hawajakuona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Medicine doctor. Kozi gumu miaka Sita shule halafu mshahara mdogo kuliko hata aliesoma kozi ya miaka mitatu huku akila bata chuoni.

Sishauri Kabisa mtu asome kozi hii
Kozi nzuri sana hii,nakushauri ufungue clinic yako utaona mafanikio kwa haraka
 
Nimesomea Masters in Atomic Engineering nje ya nchi kule Pakistani.
Binafsi nina ujuzi wa kutengeneza mpaka mabomu ya atomic na nishati ya atomic ila nipo kitaa nimetulia napiga udalali ,kupata kazi labda niende Marekani au Iran.

Nangoja siku Tanzania tutakapoanza tengeneza umeme wa uranium hapo ndio utaona Magufuli au rais ajaye ananipigia sim moja kwa moja nakula kitengo cha mabomu na umeme.

Wenye ujuzi huu kwa Tanzania tupo wawili tu mm na jamaa yangu na wote tupo kitaa hatuna habari .
Jaribu kuhama nchi,uhamie kwenye hizo nchi zenye hizo fursa
 
Back
Top Bottom