Kozi zitakazokuwezesha kujiunga kirahisi na JWTZ

Sijaona mhindi Tanzania ni Mwanajeshu au polisi.Watanzania waridhisheni watoto wenu viwanda,mashamba ,biashara na mzioparate kifamilia kwa upendo .Siku hizi mtoto akimaliza shule akawe mwanajeshi au polisi.
 
Mkuu wenye vyeo vya mabegani ndiyo maofisa. Hao uliowataja vyeo vyao ni vya mikononi.
 
ivi ukiingia jeshini kwani huwezi kuacha kazi
 
Kijana yoyote yule ilimradi ni mtanzania anachukuliwa bila kujali course gani amesoma. Ila kwa kipindi hiki JWTZ imewekeza zaidi kwenye course ya BMS
Samahani Mkuu, BMS kirefu chake ni nini?
 
Yote kwa yote akili zao zisiwaze sana vyeo bali majukumu yalio mbele yao, bila kusahau wanatakiwa kuwa na nidhamu na uadilifu wa hali ya juu, vinginevyo hivyo vyeo mtavisikia pamoja na master yako.
Sasa wanajeshi wote wawe na vyeo nani atamheshimu mwenzake.Jeshi la kielimu kwa afrika litakuja kuwa la hovyo maana watu wanakwenda jeshini kutafuta maisha safi.wakati nidhamu ni elimu bora kuliko chochote jeshini.
 
Wapo mpaka maprofesa jeshini kijana, ni kawaida tuu. Jeshi limekuwa la kisasa linaenda na wakati.
watu hawajui tu Jeshini hasa JWTZ ndio sehemu ambayo kuna kila taaluma iliyo nchi hii.Kule kuna ma proffesor,dar degree za kwanza ni za kumwaga na mainjinia ndio usiseme.Jiulizeni Muhimbili walivyogoma ni kina nani walikwenda kukamata usukani,waongoza ndege walivyo goma nani walikwenda kamata usukani.
Nendeni Marekani waliokwenda Mwezi mwanzoni wote walikuwa ni wanajeshi.Mwanamke wa kwanza kwenda anga za juu duniani Valentino Tereshkova wa Urusi alikuwa major general wa jeshi
 
Na waliosomea mifugo vip?

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kwamba kuna Rubani anaelipwa laki 3 kama dereva wa Land Cruiser au sio. Hebu jishikilie we jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…