Kozi zitakazokuwezesha kujiunga kirahisi na JWTZ

Natumai mu wazima wa afya. Pole kwa wanaoumwa, Mungu awajaalie mkapate afya njema.

Nimeona niwashauri kuhusu kozi na taaluma za kuwa nazo, vijana wetu wenye lengo la kwenda kujitolea JKT ili baadae waje kupata nafasi ya kuandikishwa JWTZ kwa urahisi.

Kijana, kama una nia ya kuja kulitumikia taifa letu hili pendwa la Tanzania kupitia kuwa mwanajeshi JWTZ, soma kozi hizi ili ukienda kujitolea JKT ikuwie rahisi kuandikishwa kufanya kozi ya jeshi la wananchi JWTZ.

1. Kozi zote za afya. Udaktari, unesi, ufamasia, radiographia n.k pata certificate, diploma, degree, masters mpaka PhD ya taaluma za afya, hutajutia.

2. Urubani. Ukisoma kozi hii, hata JKT unaweza usipite, ila sasa hakikisha kwenu muwe mna hela ya kutosha sio ya kubababisha maana urubani si mchezo, mpaka milioni 200 +.

Hizi ndio kozi za uhakika, ukiwa na hizo fani, ukaenda JKT, siku JWTZ wakija kuwafanyia usaili hutakosa kupata nafasi kwenda kuvaa bakabaka.

Mbali na hapo, jiandae kutoboa mkataba na kurudi nyumbani, au ujiandae kwenda polisi, Magereza, uhamiaji au wanyamapori (ukibahatika).

Ni hayo tuu kwa leo, nakaribisha michango ya wengine. Muwe na muda mwema sana
Hapo no. 2. Hapana , rubani.mshahara wake mdogo Sana nchi za wengine rubani wanaacha kazi kusomea IT, rubani Hana tofauti na dereva wa gari tofauti wewe unapita chini yeye juu. Hata darasa la saba kama unajua kusoma naa kuandika unaweza jifunza urubani. Siyo ngumu sana, utachukuwa muda kujifunza katika takeoff na landing. Ni sifa tu kuwa rubani lakini mfukoni hakuna kitu zero kabisa.
 
Rubani wanapata mshahara mkubwa sana ndugu Kokolo na jeshini wana nafasi kubwa pia ya kuandikishwa.
 
Yani mtu asome urubani akasotee jeshi
Wapo ambao wanapenda tu ndio maana unaona ndege za kijeshi zinaruka kila siku kwani hao wamewatoa wapi mzee? Mie Kuna interview nikifanya 2008 alikuwepo pilot mmoja amesoma south Africa mpaka hata kwenye interview walimuuliza kwa nini unakuja jeshini wakati Kuna uhitaji mkubwa wa pilots Tanzania kwenye commercial airlines jamaa akawaambia yeye miaka yote amekuwa anatamani sana kuwa mwanajeshi.

Jamaa waliogopa isije akaingia akaja kupewa ndege kumbe ana kisasi akalipua😃😃😃 yupo sasa hivi ni Kanali maana alipoenda monduli alipigwa jiwe tatu akatoka akakaa kidogo akala umeja akasoma kidogo zile kozi zao amekuwa kanali wa Jeshi na ndio anavurumisha mandege Yale maana alipelekwa kusomea fighter jets .

So wengine wanakuwa na hobby tu.
 
Hapo no. 2. Hapana , rubani.mshahara wake mdogo Sana nchi za wengine rubani wanaacha kazi kusomea IT, rubani Hana tofauti na dereva wa gari tofauti wewe unapita chini yeye juu. Hata darasa la saba kama unajua kusoma naa kuandika unaweza jifunza urubani. Siyo ngumu sana, utachukuwa muda kujifunza katika takeoff na landing. Ni sifa tu kuwa rubani lakini mfukoni hakuna kitu zero kabisa.
Hehehehe dah haya bana wacha nisitie neno. Ila napenda kukuambia tu mie mzee wangu ni rubani, inategemea unaendesha ndege gani ya ukubwa upi maana ndege za commercial Wana mishahara minono sana kijana tatizo unataka uwe na masaa ya kutosha ya kukaa hewani ambayo unarekodi kwenye log book yako.

Pilot wa ndege ndogo kama Cessna au Caravan huwezi kimfananisha na anayeendesha ATR na pia huwezi kumfananisha na anayeendesha Boeing pia huwezi kumfananisha na anayerusha Airbus A380 maana majukumu ni tofauti.

Halafu kwenye ndege kubwa kuna first officer au second officer na engineer hao mishahara yao haifanani na Captain mzee sasa usiseme mishahara midogo inategemea ndege anayorusha na inategemea ana masaa gani ya ndege mpaka asierushe ndege kubwa zaidi.

Mfano wale wa ndege za mizigo aisee wanalipwa vizuri sana nadhani hujui tu mie ninaishi na Captain ndio ailyenilea naona maisha yake aisee na haendeshi hizi za bongo mzee.

Kiukweli nami nilitamani sana kuwa pilot sema ndio ndunya hesabu ilikuwa shida enzi hiyo Ila nimekuja kugundua nishakuwa Wakili kwamba hesabu sio ngumu baada ya kusoma MBA ambayo haina hesabu kihivyo Ila nilikuja kugutuka tu

Nitaendesha hata ndege ndogo za private Kama Cessna two seater au four. Hizo ni Kama baiskeli tu
 
Natumai mu wazima wa afya. Pole kwa wanaoumwa, Mungu awajaalie mkapate afya njema.

Nimeona niwashauri kuhusu kozi na taaluma za kuwa nazo, vijana wetu wenye lengo la kwenda kujitolea JKT ili baadae waje kupata nafasi ya kuandikishwa JWTZ kwa urahisi.

Kijana, kama una nia ya kuja kulitumikia taifa letu hili pendwa la Tanzania kupitia kuwa mwanajeshi JWTZ, soma kozi hizi ili ukienda kujitolea JKT ikuwie rahisi kuandikishwa kufanya kozi ya jeshi la wananchi JWTZ.

1. Kozi zote za afya. Udaktari, unesi, ufamasia, radiographia n.k pata certificate, diploma, degree, masters mpaka PhD ya taaluma za afya, hutajutia.

2. Urubani. Ukisoma kozi hii, hata JKT unaweza usipite, ila sasa hakikisha kwenu muwe mna hela ya kutosha sio ya kubababisha maana urubani si mchezo, mpaka milioni 200 +.

Hizi ndio kozi za uhakika, ukiwa na hizo fani, ukaenda JKT, siku JWTZ wakija kuwafanyia usaili hutakosa kupata nafasi kwenda kuvaa bakabaka.

Mbali na hapo, jiandae kutoboa mkataba na kurudi nyumbani, au ujiandae kwenda polisi, Magereza, uhamiaji au wanyamapori (ukibahatika).

Ni hayo tuu kwa leo, nakaribisha michango ya wengine. Muwe na muda mwema sana
upuuzi mtupu, mimi ukinieleza ni Daktari gani au rubani gani alishawahi kuwa tajiri au amewahi kuendesha nchi hapa duniani ndio nitakuelewa huu upuuzi ulioandika hapa.

Baba wa mtengeza Facebook mwenyewe alikua daktari sasa kamwuulize kwanini alimweleza mtoto wake asome kompyuta.

Udaktari, afya, na ualimu ni kozi za watoto wa maskini wanaokimbilia kupata vikazi vya kimaskini.

Baada ya kuwashauri watu wasome kozi za kuendesha nchi au makampuni unawashauri wasome kozi za kugawa dawa dispensali.
 
Mkuu unaongea ukweli mchungu sana.

Ila ni hivi mkuu kama mtu hobbie yake ipo kwenye udaktari muache aende tu akapige huwenda atakuja kuwa mgunduzi mzuri sana.

Tatizo waswahili tunasoma hizi fani ili tuajiriwe,tungekuwa na watu wanaosoma hizi fani ili mwisho wa siku 2aje kuwa wagunduzi binafsi na kulisaidia taifa basi tungeona matajiri katika fani hizi taratiiiibuu ila sasa tunasoma tuajiriwe.

Kuna ndugu yangu mmoja alikuwa anasoma udaktari akasema yeye anataka asome ili mwisho wa siku awe anafanya tafiti zake binafsi tu lakini akiwa MD atakuwa amepata pakuanzia.

Akishajua mechanism of action za dawa anaweza akaingia kwenye mimea na kufanya tafiti kujua mmea gani una mechanism of action sawa na diazepam au penicillin basi anaweza akawa na mwanzo mzuri

Kuna mtanzania namfahamu yupo kwenye tafiti za kwanini watu wanaota vipara ? Na kwa nini kipara hutokea juu ya kichwa ? Na sioupara utokee kwenye ndevu n.k ?

Hawa ni wqtanzania ambao hiyo fani ipo damuni,tukiwa na wwtu kama hawa 100 tu katika kila kozi ya udaktari basi tunaweza kufanya mapinduzi makubwa tu.

Raisi wa zanzobar wa sasa hivi Dr huseni mwinyi yule ni daktari by professional ila sasa hivi anakula nchi pale visiwani.

Mimi nadhani kuingia kwenye siasa haijalishi umesoma kpzi gani
 
Kama hiyo ya udoctor mwaka juzi walichukua hadi uraiani wakaenda kupigwa shoti kozi ya miezi 3 saa hivi eti ni maafisa wanakula shavu

Sent using Jamii Forums mobile app
hapo kwenye short course ya miezi mitatu ni fiksi mzee, Jeshi hata uwe na elimu gani lazima uhenye depo na sio mchezo baada ya kambi ndio kila mmoja anajisogeza kwenye kitengo chake.

kwa kifupi ukimuona mtu yoyote kavaa kombati ya Jeshi jua kaisotea hiyo mpe saluti zake maana depo ya jeshi hasa JWTZ sio mchezo, kuna mazoezi makali sana na kila anaevaa kombati kayapitia.
 
Mkuu unaongea ukweli mchungu sana.

Ila ni hivi mkuu kama mtu hobbie yake ipo kwenye udaktari muache aende tu akapige huwenda atakuja kuwa mgunduzi mzuri sana.

Tatizo waswahili tunasoma hizi fani ili tuajiriwe,tungekuwa na watu wanaosoma hizi fani ili mwisho wa siku 2aje kuwa wagunduzi binafsi na kulisaidia taifa basi tungeona matajiri katika fani hizi taratiiiibuu ila sasa tunasoma tuajiriwe.

Kuna ndugu yangu mmoja alikuwa anasoma udaktari akasema yeye anataka asome ili mwisho wa siku awe anafanya tafiti zake binafsi tu lakini akiwa MD atakuwa amepata pakuanzia.

Akishajua mechanism of action za dawa anaweza akaingia kwenye mimea na kufanya tafiti kujua mmea gani una mechanism of action sawa na diazepam au penicillin basi anaweza akawa na mwanzo mzuri

Kuna mtanzania namfahamu yupo kwenye tafiti za kwanini watu wanaota vipara ? Na kwa nini kipara hutokea juu ya kichwa ? Na sioupara utokee kwenye ndevu n.k ?

Hawa ni wqtanzania ambao hiyo fani ipo damuni,tukiwa na wwtu kama hawa 100 tu katika kila kozi ya udaktari basi tunaweza kufanya mapinduzi makubwa tu.

Raisi wa zanzobar wa sasa hivi Dr huseni mwinyi yule ni daktari by professional ila sasa hivi anakula nchi pale visiwani.

Mimi nadhani kuingia kwenye siasa haijalishi umesoma kpzi gani
Huwezi kumshauri mtu hobbie sasa hapo ndipo unapokosea, hobbie haina haja ya kuiandikia uzi. Hobbie inakua ndani ya, mtu. Lengo la kuandika uzi ni kutoa ushauri. Sasa unaweza kumshauri mtu hobbie??? Kwamba umshauri mtu apende kucheza, karata wakati sio hobbie yake. Hobbie huwa haishauriwi.
 
Back
Top Bottom