KQ departs with "45" passengers from Nairobi to NewYork

I hear today inaondoka na abiria 9! πŸ˜†β˜
 
Daily flight to New York lazima wafeli.Wangeanza na angalau 3 times a week .Hiyo sio sawa na route ya Ulaya (schiphol) au Frunkfurt au Heathrow ambapo utazoa abiria wanaokwenda nchi mbalimbali.Route ya new york haina abiria wa kwenda kufanya connection ,wote wanaishia hapo.
 
mtz anaweza mwambia mtu nini kuhusu biashara...watu ni wavivu kupindukia..ndio flights zinaanza...market itakuja tu...nina uhakika kuwa kuna wamarekani ambao bado hawana habari kuhusu hizi flights..
Wenye nguvu mbona Hamna watu kwenye dege au misifa
Ya kijinga tu I'll Trump awasifu.
 
Wenye nguvu mbona Hamna watu kwenye dege au misifa
Ya kijinga tu I'll Trump awasifu.
sasa whats ur point?...anyway, nenda mkazindue kigali na mumbai kule...hizi za New York tuachie sisi wababe...hamuwezani kabisa...sisi tunapaa france, UK, germany, China, Qatar, UAE tangu zamani tu....kote huko tumezoea...nyie ndio mnazindua kigali juzi mnaweza kutuambia nini sasaπŸ™„πŸ™„
 
I hear today inaondoka na abiria 9! πŸ˜†β˜
jamani ilikua 45 ikaja 20 na sasa 9 ohhh my GOD πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ aliewaroga amezikwa kaburi gani tuwasaidie majirani zetu
 
Nadhani majirani ndege yenu iwe inatua Lagos na Accra ili mpate wateja huko wa kwenda nao
ushindani wa lagos na accra hawauwezi hata kwa sekunde mbili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wale wote wana direct flight to newyork
 
Labda nikuelimishe wewe, mfanyabiasha kabla hajapeleka chombo chake cha usafiri mahali lazima kwanza afanye tathimini ya hali ya Soko. Nyinyi hamkufanya tathimini hiyo. Mlikurupuka kuanzisha safari za ndege kwenda Marekani na Matokeo yake ndiyo hayo!
 
Bado ushikanishi., kq sio atcl, all those were factored in, wivu isikusumbue bure, tulio uone ngoma.
Labda nikuelimishe wewe, mfanyabiasha kabla hajapeleka chombo chake cha usafiri mahali lazima kwanza afanye tathimini ya hali ya Soko. Nyinyi hamkufanya tathimini hiyo. Mlikurupuka kuanzisha safari za ndege kwenda Marekani na Matokeo yake ndiyo hayo!
 
gineus at work
 
Tz is a Lazy LDC state. They are losers so wanatafuta weakness za kenya ndio wajiconsole. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wapende wasipende Kenya will always lead as they follow.
 
Ndege sio daladala bro the destination is fixed. Ikuwe na abiria ikose bado itaenda. But how would you know. I forgot you live in an LDC country. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nadhani majirani ndege yenu iwe inatua Lagos na Accra ili mpate wateja huko wa kwenda nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…