Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Its leftLives ni kuishi. Save hela ulipe ada ya English Medium.
HaupoKuna uzi humu wa hii
We want to know who occupied the 7000 tickets you said all sold out until January.This are the idiots that expect to start a new product and jump into profitability without incurring marketing expenses etc
Leaves MelissaaaThe question is did they real plan for this route au wamekulupuka😂😂😂View attachment 920024View attachment 920025View attachment 920026View attachment 920027
We want to know who occupied the 7000 tickets you said all sold out until January.
Maybe nikuelimishe katika sekta ya uchukuzi(transport)., let me come to your level., take for example mabasi ya masafa marefu(long distance) and they leave at specific timing, basi litaondoka ata kama liko bure, inafanyika hapa Kenya sijui tz ni vipi(not all bus companies though)., mfano unaweza kua Busia (Kenya/Uganda border), then u book Easy coach, Coast Bus or Modern Coast to Nairobi, wakati unaingia unapata mko abiria watano ndani ya basi la kubeba watu 60., ikifika wakati wa kutoka linaondoka, na kama sheria yao hawabebi abiria barabarani, you have to book and board at their offices. At the end of the year when they quantify their income utapata bado wana make faida. Same na airlines, if it is leaving at 0800hrs litaondoka na wale abiria watakua wame book na wenye wamefika., hii ni kawaida ya organized transport industry.The question is did they real plan for this route au wamekulupuka[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 920024View attachment 920025View attachment 920026View attachment 920027