KQ yakiri kupata hasara kubwa kutokana na kufungiwa safari za Tanzania

Siku kizuri,kumbuka hilo shirika limeajiri watanzani pia,sasa likipata hasara, ajira za wabongo pia zinakuwa mashakani
Kwahiyo wewe na tundu akili zenu zipo sawa maana Tundu alisema bora tuendelee kupigwa tu kwenye madini kuliko kurekebisha mikataba tutashtakiwa leo anataka nchi mtu mwenye akili ndogo kama huyu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji848] vituko kweli!! Nawe upo tayar TANZANIA ikose maslahi mapana kulinda ajila ya Watanzania 2 tena wa kubahatisha maana huna uhakika kama kuna Watanzania wameajiliwa ktk hilo shirika pengine wapo.
 
Hivi unadhani ndege zinatua na kuondoka bure pale, unadhani wageni wanakuja na teksi zao, unadhani wanakuja na bidhaa zao za matumizi kwenye mabegi, unadhani wanalala kwenu.
Umemaliza kufikiria au ndio unanza?
 
Hivi unadhani ndege zinatua na kuondoka bure pale, unadhani wageni wanakuja na teksi zao, unadhani wanakuja na bidhaa zao za matumizi kwenye mabegi, unadhani wanalala kwenu.
Hakuna biashara yenye ushindani kwasasa Kama usafiri wa ndege, hakutokuwa na upungufu wowote kwasababu mashirika yenye kutoa huduma ya usafiri wa ndege ni mengi kuliko mahitaji.

Kitendo cha KQ kukatazwa kuja Tanzania, tayari mashirika mengine yanachekelea kama ET, Emirates, Qatar, Turkey, Rwanda na SAA airways, sasa wewe wasiwasi wako unatoka wapi?
 
Ndio mana nikamiliza amemaliza kufikiria au ananza.
 
Hivi unadhani ndege zinatua na kuondoka bure pale, unadhani wageni wanakuja na teksi zao, unadhani wanakuja na bidhaa zao za matumizi kwenye mabegi, unadhani wanalala kwenu.
Wakati unaiwaz iyo kq km mkombozi unapaswa kujua kuna mashirika mengi sna y ndege yanayo udumia Tz....mfano Chukua hii ya KLM....Alafu siku nyingine nivyema ukangalia vitu kwa mapana yake kuliko kutumia logic ndog
Usisahau hii ni bada ya korona....
 
Vip airt Tanzania, naskia zimepata faida kwa kupakiwa chini kwa miezi 5 sasa, pongezi kwa JPM, kawaweza wapinzani, hasa CHADEMA.
 
Usiongee kishabiki mtafute mweye uelewa wa uchumi akusaidie mambo mengine ni magumu kuyaelewa kwa mtu mwenye elimu ya kawaida au yakibashite.
 
Mmmmh! Mzee unamaanisha hela za KLM zinatutosha? Hivi umeshafika airport ya Amsterdam ukaona idadi ya ndege zinazotua na kuruka? Ndio maana Lissu akasema hamjui biashara. Ningekuunga mkono Kama ungesema tuwapandishie Kodi KQ
 
vip airt Tanzania, naskia zimepata faida kwa kupakiwa chini kwa miezi 5 sasa, pongezi kwa JPM, kawaweza wapinzani, hasa CHADEMA,
ATCL haijasimamisha huduma zake kama ilivyifanya KQ, kumbuka kwamba 80%. ya Safari za ATCL ni domestic na hazijasimamishwa kwa kipindi chote Cha Corona.

Kuhusu mambo ya CHADEMA, inaonyesha jinsi ulivyo na akili chafu, hapa tunazungumzia Tanzania, mambo ya vyama yanakuwaje?. Yeyote mwenye kuitetea Tanzania ni CCM?
 

Yani umetunga hoja yako na kuijadili mwenyewe. Wapi nimeongelea uchumi? Wapi nimeongelea faida ya kutua na maegesho?
Mtiririko ulionao ni wa kijiweni. Sasa mimi huko sipo, endelea na wengine wa sampuli hiyo.
 
Yani umetunga hoja yako na kuijadili mwenyewe. Wapi nimeongelea uchumi? Wapi nimeongelea faida ya kutua na maegesho? Mtiririko ulionao ni wa kijiweni. Sasa mimi huko sipo, endelea na wengine wa sampuli hiyo
Mimi kawaida yangu nachukua point tu ya msingi na sio maelezo, kwenye maelezo yako umeandikaa labda point yako huijui . Point yako ni hii "KQ inaaminika huko duniani, ni mshiriki wa skyteam na inaroute nyingi. Kusema sisi hatuumii ni kuwaza pafupi sana. hapa kilammoja anapoteza". Kutokana na hii ndio nikakujibu hivyo kuhusu hiyo hasara ya pande zote unayoizungumzia.
 
Yani umetunga hoja yako na kuijadili mwenyewe. Wapi nimeongelea uchumi? Wapi nimeongelea faida ya kutua na maegesho?
Mtiririko ulionao ni wa kijiweni. Sasa mimi huko sipo, endelea na wengine wa sampuli hiyo
Kama ujui unapozungumzia faida na hasara tayari unazungumzia uchumi
 
Hiyo point ulioongelea ni sehem ya point ya kwanza. Sasa jumlisha alafu utafakari upya. Ukishindwa uniambie nikufafanulie
 
Mmmmh! Mzee unamaanisha hela za KLM zinatutosha? Hivi umeshafika airport ya Amsterdam ukaona idadi ya ndege zinazotua na kuruka? Ndio maana Lissu akasema hamjui biashara. Ningekuunga mkono Kama ungesema tuwapandishie Kodi KQ
Ndugu yangu mbona yapo mengi sana tuu mfano ET,QATAR,ETHIOPIA,SAA,TURKISH,EMIRATES just to mension few...so hawa jama wametufanyia mtimanyongo kwa mda sana sasa imefika wakati wakusema inatosha....
 
yanayoharibu uchumi na uhusiano wa kimataifa.
Uhusiano wa kimataifa my arse!

Uhusiano wa kimaita na Kenya uliwahi kutusaidia nini, kumpa JK degree ya heshima? Ili awanyenyekee?

Kenya wanahitaji zaidi uhusiano na sisi zaidi kuliko sisi tunavyohitaji uhusiano nao.

Na hiyo ni mboga tu tumemwaga baada ya wao kumwaga ugali, bado kupindua na meza yenyewe, tutapasua EAC mazima. Haitakuwa mara ya kwanza.
 
Uhusiano wa kimataifa my arse!

Uhusiano wa kimaita na Kenya uliwahi kutusaidia nini, kumpa JK degree ya heshima? Ili awanyenyekee?

Kenya wanahitaji zaidi uhusiano na sisi zaidi kuliko sisi tunavyohitaji.
Sawa Mkuu endelea kujidanaganya tafuta wenye uelewa wa uchumi wakupe chakula ya ubongo.
 
Nyie mbona mna akili za kijinga? Hivi unafikiri inaathirika kenya peke yake kwa kuzuia ndege za KQ kuja TZ? Nyie ndio manaomdanganya JIWE na anafanya mambo yanayoharibu uchumi na uhusiano wa kimataifa.
Savimbi Jr ktk tif tif kama hili nchi zote zina umia na mpaka huyo msafiri / mtalii mwenyewe anaumia . Na zaidi hata mtalii next time atafikiria kuopt usafiri mwingine yaan badala ya kupan
Ndugu hii raman ilikuwa ni KQ ya zaman ss iv the shirika is Zoofuli hali kuna route kibao katibya izo wali kata ili kupunguza loss kumbuka KQ ni kampuni inayo jiendesha kihasara kwa mujibu wa investment waliyofanya wawekezaji akiwemo CEO wa safaricom jina mnamjua
 
Kwa mtu anayejuwa biashara na anafahamu vizuri KQ asingeifungia kuleta abiria hapa

Aisee hawa wanaoanzisha hizi nyuzi za mapambio huenda hawana exposure ndio maana hukimbilia kuimba tu fly overs mara ndege.

Wakifika uwanja wa Joma Kenyatta wataona tofauti na kuanza kuwaza upya.

Kuwasaidia wanaLumumba wenzangu kupata exposure ukiwa umekaa nyumbani kwako, tumia google maps au Google earth inaweza saidia kuona miji mbalimbali na kulinganisha na kwetu tujue tuko wapi.

Kiongozi akifanya vema apewe pongezi, ILA tusiwe walevi wa mapambio bila mipango na uelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…