Tetesi: KQ yaongeza Hasara mara mbili hadi Ksh 7.5b kutoka billioni 4 mwaka janaπŸ˜†πŸ˜†

Wewe una kichaa?

2017 loss - Sh10 billion
2018 loss - Sh7.59 billion
7.59 bado tax hapo hebu weka tax uone inakuja ngapiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ usijidanganye budaa
7.5 my friend is without tax kenge wewe na 9.4 tax included so take 7.5 add tax alaf uone increase of 17.7% loss ipo au haipo watu washapiga hesabu kitamboπŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡ we unatuletea hesabu za kushiba skumawiki hapa

Very good, kwa hiyo kwasasa hivi ikitokea KQ haiwezi kuendelea na biashara, share holders watachukua hizo ndege 3 pekee, na hizo 17 zitawekwa katika Escrow account kwasababu sio za KQ wala sio za leasing company. In nutshell KQ has only 3 planes.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ 37 aircraft ni leased alaf waache kula hasara labda wasubiri yesu ashuke
 
ATCL iko na viwango vidogo vya kila kitu! Fuel cost, salaries, maintenance cost...etc. ATCL is comparable to fly540, jambojet or African Express not KQ !!!! Unataka Ku compare ndovu na panya ....

unaongelea kq ipi aseee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mala ya mwisho KQ kupata faida ilikuwa lini
 
ATCL has a smaller fleet than Fly540.

Also, go teach yourself the difference between leasing and borrowing to buy.
 
7.59 bado tax hapo hebu weka tax uone inakuja ngapiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Decreasing loss.
Can you post the loss figures for ATCL for the last 5 years. Ama supreme leader amekataza release of data?
 
Decreasing loss.
Can you post the loss figures for ATCL for the last 5 years. Ama supreme leader amekataza release of data?
AtCL imefufulia leo ni miaka mitatu my friend so wait and see πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘ na uganda tayari ashaingia kwenye game sijui wapi mutakimbiliq safari hiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†
 
ATCL has a smaller fleet than Fly540.

Also, go teach yourself the difference between leasing and borrowing to buy.
Hahahahaha, what is your point here, someone with 8 planes full owned and all are brand new, you want to compare with a company which owns only 3 old planes and the rest fleet are on lease really?.

Hahahahaha, borrowing to buy involves paying money for instalment with intention to own it in the future. You pay the price of the item plus interest actually this requires some money to pay more money monthly than leasing, while leasing you just pay fees. Both need monthly payments, that's why is very difficult to make profit if you have to deduct a lot of money monthly to service any type of loan.
 
ATCL has a smaller fleet than Fly540.

Also, go teach yourself the difference between leasing and borrowing to buy.
ATCL has a smaller fleet than Fly540.

Also, go teach yourself the difference between leasing and borrowing to buy.
Endelea kujipa matumaini hvo hvo , leasing and borrowing πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Huyo jamaa sijui kama akili yake iko sawa yani anazunguka kwenye point ile ileπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Shirika linapat hasara miaka 7 na halina mpango wakupata faida
 
AtCL imefufulia leo ni miaka mitatu my friend so wait and see πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘ na uganda tayari ashaingia kwenye game sijui wapi mutakimbiliq safari hiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†

ATCL has never made a profit since it was founded in 1970.
 
ATCL has never made a profit since it was founded in 1970.
Kumbuka ATCL imefufuliwa just 3yrs now na sasa inandege 8 fully owned na mwaka huu zinaingia ndege 3 brand new cash dealπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Kq iko in service almost 50yrs ina ndege 3 fully ownedπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
ATCL iko na viwango vidogo vya kila kitu! Fuel cost, salaries, maintenance cost...etc. ATCL is comparable to fly540, jambojet or African Express not KQ !!!! Unataka Ku compare ndovu na panya ....
huyo ni ndovu anayetembelea mguu mmoja, kilema.
 
Mh ww sio 3 ni 2 moja ni 787 na nyingine ni Q400
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…