feisar wa moro
JF-Expert Member
- Mar 17, 2020
- 365
- 858
Mvua ya nini watu tunataka tukale bata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuki ni kitu kibaya wewe kwako ndio hakuna mvua ila mikoani mvua zinanyesha kama zote. Yani ni baraka tele. Utabaki na chuki zako kwa serikali wenzanko tunasonga mbele. Pole sanaNdugu wapendwa JF!
Hapo zamani kila jambo lilikuwa na ujumbe. Babu zetu waliishi kwa kutazama mambo kwa nyakati!
Mvua, vumbi, miti, jua na nzige na vingine vingine vilituma ujumbe wa namna bora ya kuishi nyakati zijazo!
Hata ukirejelea Maandiko Walawi 26:3-4
Mungu alipokuwa anasema na Walawi anasema hivi:
"Kama mkienda katika Amri zangu, na kuyashika Maagizo Yangu, na kuyafanya; ndipo nitakapozinyeshea mvua zenu kwa nyakati zake, na nchi itazaa maongeo yake na miti ya madhambani itazaa matunda yake, nanyi mtakula chakula chenu kwa kushiba, na kuketi katika nchi yenu salama!"
Tukitizama andiko hilo hapo juu liko wazi, linatamka wazi kabisa Mvua za nyakati ni Baraka na KINYUME chake ni laana! Maanake Nyakati za Krimasi ya leo kama ilitakiwa inyeshe Mvua na limewaka Jua! Ni ISHARA YA NJAA! Watu hawatakula kwa KUSHIBA, Usalama wa nchi utakuwa wa Mashaka!
Ni vyema kama serikali tukajipanga kuweka AKIBA YA CHAKULA!
Mvua ya Krismasi hutoa Ujumbe mzuri na kinyume chake mwaka huu ni Ujumbe mbaya kwa nchi!
Mery Christmas!
Karibuni Kisuli mix utumbo ndo vinatokota!
Wapi hapo! Ebu taja Jina ulipo kama hujaumbuka
Unaongelea nchi gani ww!? Huku dodoma tangu jana mvua imenyesha usiku kucha mpaka mida hii bado inanyesha.Ndugu wapendwa JF!
Hapo zamani kila jambo lilikuwa na ujumbe. Babu zetu waliishi kwa kutazama mambo kwa nyakati!
Mvua, vumbi, miti, jua na nzige na vingine vingine vilituma ujumbe wa namna bora ya kuishi nyakati zijazo!
Hata ukirejelea Maandiko Walawi 26:3-4
Mungu alipokuwa anasema na Walawi anasema hivi:
"Kama mkienda katika Amri zangu, na kuyashika Maagizo Yangu, na kuyafanya; ndipo nitakapozinyeshea mvua zenu kwa nyakati zake, na nchi itazaa maongeo yake na miti ya madhambani itazaa matunda yake, nanyi mtakula chakula chenu kwa kushiba, na kuketi katika nchi yenu salama!"
Tukitizama andiko hilo hapo juu liko wazi, linatamka wazi kabisa Mvua za nyakati ni Baraka na KINYUME chake ni laana! Maanake Nyakati za Krimasi ya leo kama ilitakiwa inyeshe Mvua na limewaka Jua! Ni ISHARA YA NJAA! Watu hawatakula kwa KUSHIBA, Usalama wa nchi utakuwa wa Mashaka!
Ni vyema kama serikali tukajipanga kuweka AKIBA YA CHAKULA!
Mvua ya Krismasi hutoa Ujumbe mzuri na kinyume chake mwaka huu ni Ujumbe mbaya kwa nchi!
Mery Christmas!
Karibuni Kisuli mix utumbo ndo vinatokota!
[emoji16][emoji16][emoji16] Jamaa anashangaza ye ana amini hakuna mvua wapi.Kwani we unaishi nchi nzima ?
Nipo hapa Cyberjaya, Malaysia, mvua inanyeshaWapi hapo! Ebu taja Jina ulipo kama hujaumbuka
Kuna watu wana maono ya karibu Sana..yaani hali ya mahali alipo yeye analinganisha na maeneo mengine bila kufanya utafitiHuku nanjilinji mvua imekesha na bado inaendelea mpk muda huu.
Mara nyingine tunapo post thread ni vema kusema tupo nchi gani ama mkoa upi. Kama weee ni sadist unayeombea mabaya tu yatokee ni vema pia ukapata taarifa sahihi kabla ya kuonesha matamanio yako maovu:Ndugu wapendwa JF!
Hapo zamani kila jambo lilikuwa na ujumbe. Babu zetu waliishi kwa kutazama mambo kwa nyakati!
Mvua, vumbi, miti, jua na nzige na vingine vingine vilituma ujumbe wa namna bora ya kuishi nyakati zijazo!
Hata ukirejelea Maandiko Walawi 26:3-4
Mungu alipokuwa anasema na Walawi anasema hivi:
"Kama mkienda katika Amri zangu, na kuyashika Maagizo Yangu, na kuyafanya; ndipo nitakapozinyeshea mvua zenu kwa nyakati zake, na nchi itazaa maongeo yake na miti ya madhambani itazaa matunda yake, nanyi mtakula chakula chenu kwa kushiba, na kuketi katika nchi yenu salama!"
Tukitizama andiko hilo hapo juu liko wazi, linatamka wazi kabisa Mvua za nyakati ni Baraka na KINYUME chake ni laana! Maanake Nyakati za Krimasi ya leo kama ilitakiwa inyeshe Mvua na limewaka Jua! Ni ISHARA YA NJAA! Watu hawatakula kwa KUSHIBA, Usalama wa nchi utakuwa wa Mashaka!
Ni vyema kama serikali tukajipanga kuweka AKIBA YA CHAKULA!
Mvua ya Krismasi hutoa Ujumbe mzuri na kinyume chake mwaka huu ni Ujumbe mbaya kwa nchi!
Mery Christmas!
Karibuni Kisuli mix utumbo ndo vinatokota!
Mvua za baraka zinaendelea kunyesha mkoa wa Dodoma majira ya Christmas hata kuleta changamoto kwa wengi kwenda ibada. Nashangaa maelezo yako dmkali labda kama mko chini ya laana kwa kupinga sikukuu kubwa kuliko zote duniani na utawala halali uliowekwa na Mungu katika nchi yetu iliyobarikiwa tangu kuumbwa kwake.Ndugu wapendwa JF!
Hapo zamani kila jambo lilikuwa na ujumbe. Babu zetu waliishi kwa kutazama mambo kwa nyakati!
Mvua, vumbi, miti, jua na nzige na vingine vingine vilituma ujumbe wa namna bora ya kuishi nyakati zijazo!
Hata ukirejelea Maandiko Walawi 26:3-4
Mungu alipokuwa anasema na Walawi anasema hivi:
"Kama mkienda katika Amri zangu, na kuyashika Maagizo Yangu, na kuyafanya; ndipo nitakapozinyeshea mvua zenu kwa nyakati zake, na nchi itazaa maongeo yake na miti ya madhambani itazaa matunda yake, nanyi mtakula chakula chenu kwa kushiba, na kuketi katika nchi yenu salama!"
Tukitizama andiko hilo hapo juu liko wazi, linatamka wazi kabisa Mvua za nyakati ni Baraka na KINYUME chake ni laana! Maanake Nyakati za Krimasi ya leo kama ilitakiwa inyeshe Mvua na limewaka Jua! Ni ISHARA YA NJAA! Watu hawatakula kwa KUSHIBA, Usalama wa nchi utakuwa wa Mashaka!
Ni vyema kama serikali tukajipanga kuweka AKIBA YA CHAKULA!
Mvua ya Krismasi hutoa Ujumbe mzuri na kinyume chake mwaka huu ni Ujumbe mbaya kwa nchi!
Mery Christmas!
Karibuni Kisuli mix utumbo ndo vinatokota!
That's why I love JF! Unaweza ukatabasamu kama si kucheka bila kutegemea.Kwani we unaishi nchi nzima ?