FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Moshi kitu gani nyinyi, acheni dharau kwa wasio wa hukoLazima Kwanza tujue Chrsmass ipo Moshi huko kwingine kuna mapumziko ya kitaifa. Kwahiyo anaposema hakuna Mvua anamaanisha Moshi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moshi kitu gani nyinyi, acheni dharau kwa wasio wa hukoLazima Kwanza tujue Chrsmass ipo Moshi huko kwingine kuna mapumziko ya kitaifa. Kwahiyo anaposema hakuna Mvua anamaanisha Moshi
Inategemea uko mkoa gani, nilipo mimi mvua imenyesha usiku kuchaNdugu wapendwa JF!
Hapo zamani kila jambo lilikuwa na ujumbe. Babu zetu waliishi kwa kutazama mambo kwa nyakati!
Mvua, vumbi, miti, jua na nzige na vingine vingine vilituma ujumbe wa namna bora ya kuishi nyakati zijazo!
Hata ukirejelea Maandiko Walawi 26:3-4
Mungu alipokuwa anasema na Walawi anasema hivi:
"Kama mkienda katika Amri zangu, na kuyashika Maagizo Yangu, na kuyafanya; ndipo nitakapozinyeshea mvua zenu kwa nyakati zake, na nchi itazaa maongeo yake na miti ya madhambani itazaa matunda yake, nanyi mtakula chakula chenu kwa kushiba, na kuketi katika nchi yenu salama!"
Tukitizama andiko hilo hapo juu liko wazi, linatamka wazi kabisa Mvua za nyakati ni Baraka na KINYUME chake ni laana! Maanake Nyakati za Krimasi ya leo kama ilitakiwa inyeshe Mvua na limewaka Jua! Ni ISHARA YA NJAA! Watu hawatakula kwa KUSHIBA, Usalama wa nchi utakuwa wa Mashaka!
Ni vyema kama serikali tukajipanga kuweka AKIBA YA CHAKULA!
Mvua ya Krismasi hutoa Ujumbe mzuri na kinyume chake mwaka huu ni Ujumbe mbaya kwa nchi!
Mery Christmas!
Karibuni Kisuli mix utumbo ndo vinatokota!
Mvua ya mwenyezi Mungu. Bia ni pombe sio mvua!Mvua ya bia?
Dar hizi mvuwa za kawaida huwa hazinyeshi mji mzima, huwa zinanyesha kwa mafungu.na hii inayonyesha huku Mbezi ni kitu gani?
Dini ime kulevya mpaka imeathiri akili zako.Ndugu wapendwa JF!
Hapo zamani kila jambo lilikuwa na ujumbe. Babu zetu waliishi kwa kutazama mambo kwa nyakati!
Mvua, vumbi, miti, jua na nzige na vingine vingine vilituma ujumbe wa namna bora ya kuishi nyakati zijazo!
Hata ukirejelea Maandiko Walawi 26:3-4
Mungu alipokuwa anasema na Walawi anasema hivi:
"Kama mkienda katika Amri zangu, na kuyashika Maagizo Yangu, na kuyafanya; ndipo nitakapozinyeshea mvua zenu kwa nyakati zake, na nchi itazaa maongeo yake na miti ya madhambani itazaa matunda yake, nanyi mtakula chakula chenu kwa kushiba, na kuketi katika nchi yenu salama!"
Tukitizama andiko hilo hapo juu liko wazi, linatamka wazi kabisa Mvua za nyakati ni Baraka na KINYUME chake ni laana! Maanake Nyakati za Krimasi ya leo kama ilitakiwa inyeshe Mvua na limewaka Jua! Ni ISHARA YA NJAA! Watu hawatakula kwa KUSHIBA, Usalama wa nchi utakuwa wa Mashaka!
Ni vyema kama serikali tukajipanga kuweka AKIBA YA CHAKULA!
Mvua ya Krismasi hutoa Ujumbe mzuri na kinyume chake mwaka huu ni Ujumbe mbaya kwa nchi!
Mery Christmas!
Karibuni Kisuli mix utumbo ndo vinatokota!
Wacha kudhalilisha xmass futa uzi, Mbezi mwisho tunahangaika na miavuli sasa hiviNdugu wapendwa JF!

Mwaka jana na juzi ilipokuwa inanyesha kulikuwa hamna madhambi?Ndugu wapendwa JF!

Liko wazi, Magari yote yameelekea Moshi sasa unadhani Sherehe iko wapi??Moshi kitu gani nyinyi, acheni dharau kwa wasio wa huko
Unaishi wapi? Pia jitahidi ku-reasone na ku-argue maana umekurupuka.Ndugu wapendwa JF!