Krismasi ya kwanza pasipo mvua ni ujumbe kwa mamlaka. Tuchukue tahadhari

Krismasi ya kwanza pasipo mvua ni ujumbe kwa mamlaka. Tuchukue tahadhari

Hapa singida imepiga usiku kuanzia saa 3 usiku hadi saba!! Na muda huu kuna dalili ya mvua kupiga tena!!
 
Jana tarehe 24 Dec 2020 kunamtu nilikua naongea nae yupo Mwanza mjini,akanambia nisubiri kwanza mvua ikate ndo atakwenda nilipo muagiza.
Watu wa Mwanza town kama wapo humu watakuwa mashahidi.
Yes..mimi mmoja wao[emoji868] iligonga Mvua ndiyo..na sasa leo kuko shwari nagonga kahawa Buhongwa hapa
 
Kumbe hata mwaka jana mvua zimeanza kunyesha kwa wingi mwishoni mwa December..halafu mwaka huu tunasingizia ukame..
 
Back
Top Bottom