Krismasi ya kwanza pasipo mvua ni ujumbe kwa mamlaka. Tuchukue tahadhari

Lazima Kwanza tujue Chrsmass ipo Moshi huko kwingine kuna mapumziko ya kitaifa. Kwahiyo anaposema hakuna Mvua anamaanisha Moshi
 
Ndugu wapendwa JF!

Hapo zamani kila jambo lilikuwa na ujumbe. Babu zetu waliishi kwa kutazama mambo kwa nyakati!

Mvua, vumbi, miti, jua na nzige na vingine vingine vilituma ujumbe wa namna bora ya kuishi nyakati zijazo!

Hata ukirejelea Maandiko Walawi 26:3-4

Mungu alipokuwa anasema na Walawi anasema hivi:

"Kama mkienda katika Amri zangu, na kuyashika Maagizo Yangu, na kuyafanya; ndipo nitakapozinyeshea mvua zenu kwa nyakati zake, na nchi itazaa maongeo yake na miti ya madhambani itazaa matunda yake, nanyi mtakula chakula chenu kwa kushiba, na kuketi katika nchi yenu salama!"

Tukitizama andiko hilo hapo juu liko wazi, linatamka wazi kabisa Mvua za nyakati ni Baraka na KINYUME chake ni laana! Maanake Nyakati za Krimasi ya leo kama ilitakiwa inyeshe Mvua na limewaka Jua! Ni ISHARA YA NJAA! Watu hawatakula kwa KUSHIBA, Usalama wa nchi utakuwa wa Mashaka!

Ni vyema kama serikali tukajipanga kuweka AKIBA YA CHAKULA!

Mvua ya Krismasi hutoa Ujumbe mzuri na kinyume chake mwaka huu ni Ujumbe mbaya kwa nchi!

Mery Christmas!

Karibuni Kisuli mix utumbo ndo vinatokota!
Acha unaa, huku kwetu Igigwa Sikonge mvua imekesha inanyesha, hapa Kitendaguro Bukoba mpaka sasa hivi inanyesha! Una laana wewe!
 
Ndugu wapendwa JF!

Hapo zamani kila jambo lilikuwa na ujumbe. Babu zetu waliishi kwa kutazama mambo kwa nyakati!

Mvua, vumbi, miti, jua na nzige na vingine vingine vilituma ujumbe wa namna bora ya kuishi nyakati zijazo!

Hata ukirejelea Maandiko Walawi 26:3-4

Mungu alipokuwa anasema na Walawi anasema hivi:

"Kama mkienda katika Amri zangu, na kuyashika Maagizo Yangu, na kuyafanya; ndipo nitakapozinyeshea mvua zenu kwa nyakati zake, na nchi itazaa maongeo yake na miti ya madhambani itazaa matunda yake, nanyi mtakula chakula chenu kwa kushiba, na kuketi katika nchi yenu salama!"

Tukitizama andiko hilo hapo juu liko wazi, linatamka wazi kabisa Mvua za nyakati ni Baraka na KINYUME chake ni laana! Maanake Nyakati za Krimasi ya leo kama ilitakiwa inyeshe Mvua na limewaka Jua! Ni ISHARA YA NJAA! Watu hawatakula kwa KUSHIBA, Usalama wa nchi utakuwa wa Mashaka!

Ni vyema kama serikali tukajipanga kuweka AKIBA YA CHAKULA!

Mvua ya Krismasi hutoa Ujumbe mzuri na kinyume chake mwaka huu ni Ujumbe mbaya kwa nchi!

Mery Christmas!

Karibuni Kisuli mix utumbo ndo vinatokota!
Sinza inanyesha hapa
 
Mtoa mada upo nchi/mkoa gani?
Hapa Zanzibar mvua kama yote haya huko Dar jamaa ananitonya mvua kuanzia bagamoyo to tegeta, sasa unataka dunia yote mvua inye au..?
 
Lazima Kwanza tujue Chrsmass ipo Moshi huko kwingine kuna mapumziko ya kitaifa. Kwahiyo anaposema hakuna Mvua anamaanisha Moshi
Upeo wako ni mdogo sana, siyo kila Mchaga anatokea Moshi.

Wapo wa Hai, Marangu, Rombo.
 
na hii inayonyesha huku Mbezi ni kitu gani?
 
Back
Top Bottom