Krismasi ya kwanza pasipo mvua ni ujumbe kwa mamlaka. Tuchukue tahadhari

Ndugu wapendwa JF!

Hapo zamani kila jambo lilikuwa na ujumbe. Babu zetu waliishi kwa kutazama mambo kwa nyakati!

Mvua, vumbi, miti, jua na nzige na vingine vingine vilituma ujumbe wa namna bora ya kuishi nyakati zijazo!

Hata ukirejelea Maandiko Walawi 26:3-4

Mungu alipokuwa anasema na Walawi anasema hivi:

"Kama mkienda katika Amri zangu, na kuyashika Maagizo Yangu, na kuyafanya; ndipo nitakapozinyeshea mvua zenu kwa nyakati zake, na nchi itazaa maongeo yake na miti ya madhambani itazaa matunda yake, nanyi mtakula chakula chenu kwa kushiba, na kuketi katika nchi yenu salama!"

Tukitizama andiko hilo hapo juu liko wazi, linatamka wazi kabisa Mvua za nyakati ni Baraka na KINYUME chake ni laana! Maanake Nyakati za Krimasi ya leo kama ilitakiwa inyeshe Mvua na limewaka Jua! Ni ISHARA YA NJAA! Watu hawatakula kwa KUSHIBA, Usalama wa nchi utakuwa wa Mashaka!

Ni vyema kama serikali tukajipanga kuweka AKIBA YA CHAKULA!

Mvua ya Krismasi hutoa Ujumbe mzuri na kinyume chake mwaka huu ni Ujumbe mbaya kwa nchi!

Mery Christmas!

Karibuni Kisuli mix utumbo ndo vinatokota!
Inategemea uko mkoa gani, nilipo mimi mvua imenyesha usiku kucha
 
na hii inayonyesha huku Mbezi ni kitu gani?
Dar hizi mvuwa za kawaida huwa hazinyeshi mji mzima, huwa zinanyesha kwa mafungu.

Sehemu zinazokaliwa na washirikina hasa wa mabondeni huwa wanatega satellite zako mvua hainyeshi kwenye maeneo hayo.
 
Ndugu wapendwa JF!

Hapo zamani kila jambo lilikuwa na ujumbe. Babu zetu waliishi kwa kutazama mambo kwa nyakati!

Mvua, vumbi, miti, jua na nzige na vingine vingine vilituma ujumbe wa namna bora ya kuishi nyakati zijazo!

Hata ukirejelea Maandiko Walawi 26:3-4

Mungu alipokuwa anasema na Walawi anasema hivi:

"Kama mkienda katika Amri zangu, na kuyashika Maagizo Yangu, na kuyafanya; ndipo nitakapozinyeshea mvua zenu kwa nyakati zake, na nchi itazaa maongeo yake na miti ya madhambani itazaa matunda yake, nanyi mtakula chakula chenu kwa kushiba, na kuketi katika nchi yenu salama!"

Tukitizama andiko hilo hapo juu liko wazi, linatamka wazi kabisa Mvua za nyakati ni Baraka na KINYUME chake ni laana! Maanake Nyakati za Krimasi ya leo kama ilitakiwa inyeshe Mvua na limewaka Jua! Ni ISHARA YA NJAA! Watu hawatakula kwa KUSHIBA, Usalama wa nchi utakuwa wa Mashaka!

Ni vyema kama serikali tukajipanga kuweka AKIBA YA CHAKULA!

Mvua ya Krismasi hutoa Ujumbe mzuri na kinyume chake mwaka huu ni Ujumbe mbaya kwa nchi!

Mery Christmas!

Karibuni Kisuli mix utumbo ndo vinatokota!
Dini ime kulevya mpaka imeathiri akili zako.
Mimi niko nje ya Tanzania na huku pia hakuna mvua.
Je, napo tusemeje?
 
Ndugu wapendwa JF!

Hapo zamani kila jambo lilikuwa na ujumbe. Babu zetu waliishi kwa kutazama mambo kwa nyakati!

Mvua, vumbi, miti, jua na nzige na vingine vingine vilituma ujumbe wa namna bora ya kuishi nyakati zijazo!

Hata ukirejelea Maandiko Walawi 26:3-4

Mungu alipokuwa anasema na Walawi anasema hivi:

"Kama mkienda katika Amri zangu, na kuyashika Maagizo Yangu, na kuyafanya; ndipo nitakapozinyeshea mvua zenu kwa nyakati zake, na nchi itazaa maongeo yake na miti ya madhambani itazaa matunda yake, nanyi mtakula chakula chenu kwa kushiba, na kuketi katika nchi yenu salama!"

Tukitizama andiko hilo hapo juu liko wazi, linatamka wazi kabisa Mvua za nyakati ni Baraka na KINYUME chake ni laana! Maanake Nyakati za Krimasi ya leo kama ilitakiwa inyeshe Mvua na limewaka Jua! Ni ISHARA YA NJAA! Watu hawatakula kwa KUSHIBA, Usalama wa nchi utakuwa wa Mashaka!

Ni vyema kama serikali tukajipanga kuweka AKIBA YA CHAKULA!

Mvua ya Krismasi hutoa Ujumbe mzuri na kinyume chake mwaka huu ni Ujumbe mbaya kwa nchi!

Mery Christmas!

Karibuni Kisuli mix utumbo ndo vinatokota!
Wacha kudhalilisha xmass futa uzi, Mbezi mwisho tunahangaika na miavuli sasa hivi
 
Dar hizi mvuwa za kawaida huwa hazinyeshi mji mzima, huwa zinanyesha kwa mafungu.

Sehemu zinazokaliwa na washirikina hasa wa mabondeni huwa wanatega satellite zako mvua hainyeshi kwenye maeneo hayo.
kwa Hiyo dmkali anaishi bondeni?
 
Hahhahaa mbona huku baruti kwenda kimara mbua imeshanyesha tayari na imekata....

Ila dini imekuharibu sana akili tena sio kdg sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ningekuwa baba ako ningekukataza kwenda kanisani na kusoma biblia kwa mwaka walau ufahamu urudi kdg hlf ndo uendelee.
 
Kasulu anga inalia mvua inashuka poleni uko Darslama
 
Ndugu wapendwa JF!

Hapo zamani kila jambo lilikuwa na ujumbe. Babu zetu waliishi kwa kutazama mambo kwa nyakati!

Mvua, vumbi, miti, jua na nzige na vingine vingine vilituma ujumbe wa namna bora ya kuishi nyakati zijazo!

Hata ukirejelea Maandiko Walawi 26:3-4

Mungu alipokuwa anasema na Walawi anasema hivi:

"Kama mkienda katika Amri zangu, na kuyashika Maagizo Yangu, na kuyafanya; ndipo nitakapozinyeshea mvua zenu kwa nyakati zake, na nchi itazaa maongeo yake na miti ya madhambani itazaa matunda yake, nanyi mtakula chakula chenu kwa kushiba, na kuketi katika nchi yenu salama!"

Tukitizama andiko hilo hapo juu liko wazi, linatamka wazi kabisa Mvua za nyakati ni Baraka na KINYUME chake ni laana! Maanake Nyakati za Krimasi ya leo kama ilitakiwa inyeshe Mvua na limewaka Jua! Ni ISHARA YA NJAA! Watu hawatakula kwa KUSHIBA, Usalama wa nchi utakuwa wa Mashaka!

Ni vyema kama serikali tukajipanga kuweka AKIBA YA CHAKULA!

Mvua ya Krismasi hutoa Ujumbe mzuri na kinyume chake mwaka huu ni Ujumbe mbaya kwa nchi!

Mery Christmas!

Karibuni Kisuli mix utumbo ndo vinatokota!
Mwaka jana na juzi ilipokuwa inanyesha kulikuwa hamna madhambi?
What a wasted time to write bullshit!
 
Unaishi wapi? Pia jitahidi ku-reasone na ku-argue maana umekurupuka.
 
Uzi ameanzisha mwingine aibu naona mimi, jamaa kaumaliza mwaka vibaya hapa Jf.
 
Uko pande zipi huku kusini mvua kama yote mpaka kero.
 
Back
Top Bottom