Krismasi ya kwanza pasipo mvua ni ujumbe kwa mamlaka. Tuchukue tahadhari

Huku kwetu Kuna manyunyu..nusu ya mvua tayari 😎
 
Lazima Kwanza tujue Chrsmass ipo Moshi huko kwingine kuna mapumziko ya kitaifa. Kwahiyo anaposema hakuna Mvua anamaanisha Moshi
 
Huku kwa washua Mbezi Beach inaendelea kunyesha bila hiyana

Wewe utakuwa unaishi mbagala kiburugwa au kwa mangaya
 
Acha unaa, huku kwetu Igigwa Sikonge mvua imekesha inanyesha, hapa Kitendaguro Bukoba mpaka sasa hivi inanyesha! Una laana wewe!
 
Sinza inanyesha hapa
 
Mtoa mada upo nchi/mkoa gani?
Hapa Zanzibar mvua kama yote haya huko Dar jamaa ananitonya mvua kuanzia bagamoyo to tegeta, sasa unataka dunia yote mvua inye au..?
 
Mbona sasa hivi hapa dar.mvua.ya kutosha?
 
Lazima Kwanza tujue Chrsmass ipo Moshi huko kwingine kuna mapumziko ya kitaifa. Kwahiyo anaposema hakuna Mvua anamaanisha Moshi
Upeo wako ni mdogo sana, siyo kila Mchaga anatokea Moshi.

Wapo wa Hai, Marangu, Rombo.
 
na hii inayonyesha huku Mbezi ni kitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…