Krismasi za kukumbuka (sad memories)

Aseeh ni changamoto sana braza.....

Japo kwa ambao hawafanyi biashara za msimu kwao hawana shida ..... Hata likichelewa atapata uhakika wa kuuza mzgo ukifka!
Siku hizi miti ni ya kichina.. Biashara ikidoda inafungiwa godown kusubiri mwaka mwingine
 
Vishu leo wapi kaka..
Nipp freee kinoma an sema tatzo ww unapiga maji sana daaah
 
Ila Mshana umenikumbusha mbali sana!! Mi niliwahi kimbia mzigo wa samaki Kibaigwa!!
 
Kuna Christmas moja literally speaking nilishinda njaa jioni nikaenda kwa jirani nkajikausha mpaka msosi nikagonga na kurudi kulala! Siku hiyo nakumbuka nilienda kanisani na njaa na kurudi na njaa!
Pole ndugu yangu!! Haya maisha ndivyo yalivyo!!
 
Pole bhana!
 
Pole maisha ndivyo yalivyo!
 
Uzi mtamu sana. Nakita kambi
 
Duh!...ndoa hizi..
 
Mwaka 2000 mlikuwa mnapikia gas? 🙌🙌
 
Hii imekaa kama kamba, mwaka 2000 simu ya mkononi na gesi ya kupikia?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…