Ku - date na mabinti wa 18-28 ni mateso tupu hamna furaha kabisa

nimeipenda hii. Kumbe tatizo ni wako focused wanatafuta ndoa! na wako worried kama ndoto zao zaweza kuja kuwa kweli. Nimekuelewa sana!! Ahsante. Si vibaya kam una la nyongeza maana wangu vibomu vimezidi na mzigo kama vile anakusaidia!!
 
Wanapatikana wapi hao na mimi niwatafute...
 
Love wako peke yako huyu! Tulia ule vya duniani manake vya mbinguni hatuna uhakika navyo.
Aaaah wa peke yangu kwani moyo huo. Hebu changamka bwana nataka mke mwenza.
 
Wa mama wako pow sana
Naunga mkono hoja
Japo sio wakuwaendekeza
Yaan hawana longolingo
Hawana mizinga yakiboya
Na akiomba jua kakwama kwelii
Ila hawa wenzangu na mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mizinga hua naishia kucheka tu[emoji23][emoji23]
 
Ebu itaje hio gesti na bar na vipo maeneo gani

Iceland Hotel kama sijakosea maana ni zamani kidogo, ipo jirani na barabara maeneo ya Arjentina. Pembeni yake wanauza majeneza sanaa, sasa ukitoka hapo unaenda kama waelekea Magomeni Kagera hapo katikati ndo kuna hiyo Bar , nimeisahau jina....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…