Ku - date na mabinti wa 18-28 ni mateso tupu hamna furaha kabisa

Mbona tayari kaka yangu. Ya kwangu naona iliwahi sijui[emoji2297][emoji2297]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chizi wewe..
 
Mininaye wa miaka hiyo sijamweka akilini kabisa yani nimesha mwambia ukiamuwa kusepa njia nyeupe wanaume tutafute pesa mapenzi ni yaziada
 
Kama una miaka kuanzia 60 sawa tu kudate na hao miaka 49
 
Heb tuache na ndala zetu.
 
Bado naona Tozo hazijaingia vizuri...

Dj mlete Mwigulu na counter ya kodi mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…