Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] daah!usiamini ukionacho!
Then life is too short to complicate!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sina chuki na mtu Mimi naongea ninachokiona dadaa!I know u hate Mange always unamponda kisa hampendi zari!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kamuua kanumbaNilimfahamu mange kabla ya zari enzi za uturn blog,tabia ya matusi hakuanzia kwa zari bali kwa watu wengi hadi kuna mdada aka fake kujiua ili mange apunguze kumfata fata.
Ila chuki kwa Lulu unaionyesha hadharan
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kamuua kanumba
Mazingira ya kifo sina mda wa kumchukia kwa kua ana pesa or anything wangapi wanazo siwachukii?Kama ulikuwepo vile. Maisha ya lulu yanawaumiza wengi ndio maana wanamchukia. Tukiangalia upande wa pili sio kosa lake ni amalezi aliyolelewa.
Mazingira ya kifo sina mda wa kumchukia kwa kua ana pesa or anything wangapi wanazo siwachukii?
Zari nimeanza mjua muda sana nilikua namfatilia kabla ht ya hizi mambo,mpk ile porn clip nilimlaani yule aliyeipost ila wabongo ukiwa against na watu wao wanakuambia una chuki kaahhh!
Wala Mama Diamond sio VictimWifi sio nduguyo wala mkwe ni wanaafiki mnoi
Ila mange kamsuuza vzr tu maana kampa dose moja matataa huko aliko anajuta mpk tumejua kua in victim kaah
Sure yaani ile clip si nzuri yule ni mzazi ana watoto mpk Leo though nilianza kumdharau baada ya kuona anafanya ujinga wa kuchezeana na mondi hadharani nkajua huyu akili hana huyu!ila ile clip sijawahi Iona yoteHahahaa eti ulimlaani. Nshatoa ushauri mkuu wala siku nyingine sitakufata fata kama mkia.
Jomoni huu ni uongo uliopitiliza wamemzushia huyu kibibi gagula kabsa nadhan hata menopause itakua imekata tayari.Hiyo mimba anaibebea wapi hahahahahivi ni kweli alitoa mimba ya ommy?
mbona alitibiwa marie stopesJomoni huu ni uongo uliopitiliza wamemzushia huyu kibibi gagula kabsa nadhan hata menopause itakua imekata tayari.Hiyo mimba anaibebea wapi hahahaha
eti marie stopes wanatibu nini?Ameruka stage
mmh jamani ya kweli haya unafanya kazi pale shost,,angalia wasije wakawa wamemfananisha lol. Kama ndo hivyo basi ana kizazi kizurimbona alitibiwa marie stopes