Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Ma mkwe wa hivyo akikaa na mimi atakufa mchana kweupeeeee,
Hata aseme nini najifanya sijawahi kusikia wala kuona, akitukana akimaliza namuambia ila mama nakupenda tu maana umenizalia chemaa hebu chukua kikomne cha juice unywe.
Akipost insta mi nafanya kulike, yooote anayofanya na assume ni ya kawaida