Kua na mkwe kama mama Daimond ni kipaji

Kua na mkwe kama mama Daimond ni kipaji

Ma mkwe wa hivyo akikaa na mimi atakufa mchana kweupeeeee,
Hata aseme nini najifanya sijawahi kusikia wala kuona, akitukana akimaliza namuambia ila mama nakupenda tu maana umenizalia chemaa hebu chukua kikomne cha juice unywe.
Akipost insta mi nafanya kulike, yooote anayofanya na assume ni ya kawaida
 
Ile interview ya dj sepetu ilinipa kitu ndo maana nakushauri. Usikubali kuhojiwa tena hizi confession huku mitandaoni sio nzuri
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] daah!usiamini ukionacho!
Then life is too short to complicate!
 
U see!!!that is my point
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sina chuki na mtu Mimi naongea ninachokiona dadaa!I know u hate Mange always unamponda kisa hampendi zari!
 
Unaweza ukapata mkwe akawa hajielewi si bora hata uyu anaropoka ujinga unaona kabisa na idea ila kuna wengine ni wakwe ila ni wajinga mpaka basi .. Mtoto wao hata atombwe na bata wao watamuita bata mkwe pia
 
Nilimfahamu mange kabla ya zari enzi za uturn blog,tabia ya matusi hakuanzia kwa zari bali kwa watu wengi hadi kuna mdada aka fake kujiua ili mange apunguze kumfata fata.
Ila chuki kwa Lulu unaionyesha hadharan
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sina chuki na mtu Mimi naongea ninachokiona dadaa!I know u hate Mange always unamponda kisa hampendi zari!
 
Nilimfahamu mange kabla ya zari enzi za uturn blog,tabia ya matusi hakuanzia kwa zari bali kwa watu wengi hadi kuna mdada aka fake kujiua ili mange apunguze kumfata fata.
Ila chuki kwa Lulu unaionyesha hadharan
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kamuua kanumba
 
Kama ulikuwepo vile. Maisha ya lulu yanawaumiza wengi ndio maana wanamchukia. Tukiangalia upande wa pili sio kosa lake ni amalezi aliyolelewa.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kamuua kanumba
 
Kama ulikuwepo vile. Maisha ya lulu yanawaumiza wengi ndio maana wanamchukia. Tukiangalia upande wa pili sio kosa lake ni amalezi aliyolelewa.
Mazingira ya kifo sina mda wa kumchukia kwa kua ana pesa or anything wangapi wanazo siwachukii?

Zari nimeanza mjua muda sana nilikua namfatilia kabla ht ya hizi mambo,mpk ile porn clip nilimlaani yule aliyeipost ila wabongo ukiwa against na watu wao wanakuambia una chuki kaahhh!
 
Mama nimama !!... ...nomattet anatreat VP mkwewe atabaki kua Ivo.!!

Wakwe wenyewe wako wapi ???? Kwan Diamond kawaoa hao ?????? Hao nimademu tuuuu ,nakama mama lazima awe makini nahao mademu ili wasije mpoteza mwanae ,, kama mama lazima amuepushe mwanae namademu kwaajili ya mke wake !!!.

Naamin yupo sahihi...hao nimademu sio wake .....

Songa mbele ma diamond. Pambana nahawa mademu wenye njaaaa!!!.
 
Hahahaa eti ulimlaani. Nshatoa ushauri mkuu wala siku nyingine sitakufata fata kama mkia.
Mazingira ya kifo sina mda wa kumchukia kwa kua ana pesa or anything wangapi wanazo siwachukii?

Zari nimeanza mjua muda sana nilikua namfatilia kabla ht ya hizi mambo,mpk ile porn clip nilimlaani yule aliyeipost ila wabongo ukiwa against na watu wao wanakuambia una chuki kaahhh!
 
Hahahaa eti ulimlaani. Nshatoa ushauri mkuu wala siku nyingine sitakufata fata kama mkia.
Sure yaani ile clip si nzuri yule ni mzazi ana watoto mpk Leo though nilianza kumdharau baada ya kuona anafanya ujinga wa kuchezeana na mondi hadharani nkajua huyu akili hana huyu!ila ile clip sijawahi Iona yote
Usikonde jf ni yetu sote no need to take things seriously ukinikuta nipe dozi tu
 
Wala Mama Diamond sio Victim
Mange anatumia silaha ya kuwapaka UKImWi watu kila akitaka kuwachafua
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
hivi ni kweli alitoa mimba ya ommy?
Jomoni huu ni uongo uliopitiliza wamemzushia huyu kibibi gagula kabsa nadhan hata menopause itakua imekata tayari.Hiyo mimba anaibebea wapi hahahaha
 
Back
Top Bottom