Alivyo mpuuzi, kwanini hajapeleka ushahidi mahakani wakafungwa?Kama tuhuma zimeshindikana kuthibitika, kwa nini waendelee kushikiliwa?
Hizo hasira ni kama unaona wanakuharibia dili lijalo?Angekuwa ameachiwa dingi yako ungelalamika? mwacheni Rais afanye kazi yake kwa uhuru, hakuna taifa limeendelea kwa kujaza watu ndani bila sababu za msingi.
Sijaona sababu ya kumtukana ikiwa katoa maoni yakeInamaana we ndio unajua sana kuliko serikali na vyombo vya ulinzi?
Kama anaiba tuna kula tabu iko wapi?Vipi babako jambazi nini? Hizo hasira ni kama unaona wanakuharibia dili lijalo?
Hayo ni majinga yamezoea utawala wa mabavuInamaana we ndio unajua sana kuliko serikali na vyombo vya ulinzi??! Mpeleke mumeo akakae jela Kama kuzuri
Yanakera sana haya mazezeta,,yaani wao mama anavyotaka kuongoza Nchi kwa haki bila kumuonea mtu kinawakera sanaHayo ni majinga yamezoea utawala wa mabavu
Maza anamapungufu yake lakini anajitahidi sn kutenda haki kwa watuYanakera sana haya mazezeta,,yaani wao mama anavyotaka kuongoza Nchi kwa haki bila kumuonea mtu kinawakera sana
Mbona wezi wa kuku hatuoni wakitolewa?Angekuwa ameachiwa dingi yako ungelalamika? mwacheni Rais afanye kazi yake kwa uhuru, hakuna taifa limeendelea kwa kujaza watu ndani bila sababu za msingi.