Kuachia wahalifu kwa muda mfupi ni hatari inayokuja nchini

Kuachia wahalifu kwa muda mfupi ni hatari inayokuja nchini

Ndugu unajipamba na jina la Aristotle chini ya michango yako - kivipi?

Kama miaka haikutosha kuonyesha hatia ya fulani na kufungua mashtaka rasmi, na kumhukumu - je si jinai kumshika? Jana niliona taarifa ya wakili aliyeshikwa karibu miaka 2 kwa mashtaka bandia - sasa amefungua kesi ya kudai fidia kwa hasara za kiuchumi na kuharibiwa jina.

Nampongeza. Nchi ambako raia wanaweza kushtaki serikali pamoja na mawaziri iko kwenye njia nzuri. Nchi inayokataa hatua zozote dhidi ya maofisa yake, maskini!
 
Ndugu unajipamba na jina la Aristotle chini ya michango yako - kivipi??
Kama miaka haikutosha kuonyesha hatia ya fulani na kufungua mashtaka rasmi, na kumhukumu - je si jinai kumshika? Jana niliona taarifa ya wakili aliyeshikwa karibu miaka 2 kwa mashtaka bandia - sasa amefungua kesi ya kudai fidia kwa hasara za kiuchumi na kuharibiwa jina.

Nampongeza. Nchi ambako raia wanaweza kushtaki serikali pamoja na mawaziri iko kwenye njia nzuri. Nchi inayokataa hatua zozote dhidi ya maofisa yake, maskini!
NAwe unaamini ni bandia?
 
Japo kufungia watu bila ushahidi Ni kosa ..lakini huyu shekhe Faridi Ni mtu hatari Sana..na Kuna Jambo atakuja kufanya litaandikwa kwenye vitabu vya kihistoria!
 
Yanakera sana haya mazezeta,,yaani wao mama anavyotaka kuongoza Nchi kwa haki bila kumuonea mtu kinawakera sana
Naona tumegawanyika sana. Natoa mfano. Ukiwauliza watu wa Kinondoni na mitaa yake kwamba serikali imeshindwa kupata ushahidi wa papaa Msofe, hakika watakuona wewe na serikali yako wote ndo wajinga. Huyu alitiwa kibano tangu enzi za Kikwete.

Sigh aliyeachiwa kwa kulipa sehemu ndogo sana ya wizi alioufanya, alipokamatwa hapa hata Kenya walifurahi sana! Ndo aliyewaingiza kwenye Goldenberg Scandal.

Leo hii huyu samia anayesifika kwa haki anaona hata kuachia wezi ni haki! Mpeni hongera zake.
 
Haki ni pamoja na kunyonga watu na kufunga watu. mtu anaingia ikulu tu na kuanza kuachia waharifu utadhani kuku wa kienyeji?
Huyo baba yako dikteta alipovunja katiba kwa kugoma kunyonga watu waliohukumiwa kunyongwa mbona hukumkumbusha?

You are just a sadist. Period!
 
KUna mtu anauliza, nawe umeachiwa?
Mnatupigia kelele tu hapa na tabia zenu za udikiteta na uporaji ambao mmerithi kwa baba yenu mwendazake.

Mungu anaipenda sana hii nchi. Ametuokoa katika makucha ya kina mwendazake na watoto wake waovu kina Sabaya.
 
Wewe ni Lissu? ni ni uliyeachiwa kama tunavyoulizwa hapa?
Wenzie wanafurahia kwa kuangukiwa embe dodo, lenyewe limefura utadhani tufe fulani hivi, kama hajapenda maisha ya uraiani si abake tena, auone moto wake...?😂
 
Udini tu ndio unakusumbua huna lolote mbona kwa miaka yote waliokaa rumande hao waliowashitaki wameshindwa kuthibitisha mashtaka yao? ,kenge mkubwa mwenye roho ya kishetani
Licha ya hivyo, ulisikia tena kesi za watu kumwagiwa tindikali na makanisa kuchomwa wakati hao nduguzo wakiwa lumande?

Acha ujinga wewe, watakuwa wamejifunza
 
Back
Top Bottom