Kuachia wahalifu kwa muda mfupi ni hatari inayokuja nchini

Kuachia wahalifu kwa muda mfupi ni hatari inayokuja nchini

Marekani mpaka leo ina watu inawashikilia kwa zaidi ya miaka 10 ambao tuhuma zao hazijathibitika na wala haziwezi kuthibitika kwa kutumia mifumo ya kisheria. Lakini wanajua ni watu hatari wakiachwa waishi uraiani.
Basi zamu ya hao UHAMSHO kutoka jela,,atapelekwa baba yako akale kongoro kule ukonga
 
Maza anamapungufu yake lakini anajitahidi sn kutenda haki kwa watu
Lakini, Mr Babati, embu sema ukweli wako, hawa jamaa tangu waswekwe lupango, ni lini tena uliona matumizi ya tindikali yakiendelea mtaani?

Je nyumba za Ibada umeona zimechomwa wapi kwa kipindi chote cha hao ndugu zetu kuwa Segerea?
 
Sawa kabisa mkuu, Samahani bhana kwa maneno yangu machafu, samahani sana aisee
Usijali chief,
Tupo humu kuwaelekeza Hawa yatima wa mwendazake, maana wakiachwa peke yao watajiua Hawa !!! bado Wana maruerue ya kufiwa,

Ila si muda watamkubari tu mama Samia, Samia anatka aongoze Nchi kwa haki, maana anajua Kuna siku ataulizwa na Mungu wake,kwaiyo ataki kuona watu wanasota jela kwa makesi ya kusingiziwa tu, anataka mtu aende jela ikiwa kweli Ni muhalifu Kama SABAYA, chini ya Samia Tanzania yenyewe Neema inakuja, Mungu atashusha baraka zake ikiwa haki inatawala ktk Nchi
 
kama wana makosa wapigwe ndani kama hatuna ushahidi tuwatoe then tunawafatilia kimya kimya ili tuwadake
kazi iendelee , kazi haiwezi endelea huku nguvu kazi mmeishikilia magereza
 
Mkuki siku zote kwa nguruwe lngekuwa ni wewe mhusika au ndugu yako wa karibu usingeandika huu upuuzi saa hizi ungekuwa unakenua kenua lakini kwa vile hawakuhusu UNATESEKA sana wao kuwa huru.
Unasema miaka 9! viongozi wenye akili wanakuacha ufie huko huko!
 
Mama anataka kuwafurahisha wazungu.

Sio muda atatangaza lockdown kwa Dar ili kuwafurahisha zaidi wazungu.

Nashauri ikiwezekana aachie wafungwa wote tubakie na majengo matupu ya mahabusu.
UVCCM huwa akili mnaacha wapi? Unakamata mtu huna ushahidi wa kumtia hatiani, unamsotesha gerezani kwa miaka mingi unavizia achoke ainue mikono juu mfanye makubaliano (Bargaining)!

Uamsho kwa miaka 9 hakuna ushahidi, ni nenda rudi mahakamani huku mnawatesa (torture)! Ulitaka Mama nae amalize muda wake, aje mwingine naye amalize watu wapo tu ndani kosa eti JK na JPM wakiwaacha!

Katika Taifa very serious hawa watu walipaswa kulipwa billions of money.
 
Mtoa mada hayajakukuta.. Mimi mwaka 2016 nilibambikwa kesi.. Kama sio muujiza wa mama mmoja kurudia upya upelelezi.. Nisingekuwepo hapa.. Nakuambia kuna mabingwa wa kutengeneza kesi Tanzania sijapata kuona. Kuna watu kweli wana makosa ila kubambikia mtu kesi ni dhambi mbaya sana haina tofauti na kuua
 
Wakishaachiwa basi na serikali inaenda kulala usingizi wa pono, siyo? wewe ukisharuka mdomo wa mamba, bado unaweza kurudia tena ili kujua kama mbinu zako za kumkwepa mamba bado zipo timamu?
 
Ni katika kipindi cha siku 100 madarakani, Rais anaachia wahalifu kwa sababu anazozijua. Baadhi ya wahalifu wamekuwa mahabusu tangu awamu ya 4 ya Kikwete wakati Rais Samia akiwa ni waziri tu!

Je, ni kweli katika siku 100 ameweza kugundua watu hawa walionewa? Kweli rais wetu anaamini serikali zote zilizopita hazikufahamu undani wa watu hawa isipokuwa yeye?

Rais Samia, hakika unatuponza! baadhi ya watu hawa tunawafahamu mikasa yao huku mitaani. Huku Bara (Tanganyika) ndo huwa kituo cha uhalifu wa watu hawa. Hawa watu muda hautapita mitaani watatuumiza na tutaomba utueleze unakotupeleka ni wapi?
Aliye waachia sio Mh Samia ila Mahakama!
 
UVCCM huwa akili mnaacha wapi? Unakamata mtu huna ushahidi wa kumtia hatiani, unamsotesha gerezani kwa miaka mingi unavizia achoke ainue mikono juu mfanye makubaliano (Bargaining)!

Uamsho kwa miaka 9 hakuna ushahidi, ni nenda rudi mahakamani huku mnawatesa (torture)! Ulitaka Mama nae amalize muda wake, aje mwingine naye amalize watu wapo tu ndani kosa eti JK na JPM wakiwaacha!

Katika Taifa very serious hawa watu walipaswa kulipwa billions of money.
Halafu Sasa walikuwa wanatia hasara Nchi,ukiwaona walivyokuwa wanaletwa pale kisutu mahakamani,,
Ni msululu wa magari na askari kibao,
 
Back
Top Bottom