Super AMOLED
Senior Member
- Jan 18, 2020
- 160
- 230
Vipi angekua Mzee wako wamuache afie huko!!!Unasema miaka 9! viongozi wenye akili wanakuacha ufie huko huko!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi angekua Mzee wako wamuache afie huko!!!Unasema miaka 9! viongozi wenye akili wanakuacha ufie huko huko!
Hata wabakaji kule gerezani wana watoto!!!!!!!!!Vipi angekua Mzee wako wamuache afie huko!!!
OkayNimeangalia unavyoshangilia kifo cha JPM na tayari unamuona Sabaya ni muhalifu na tayari unaona utatawaliwa kwa haki na Samia, nimeingiwa na wasiwasi juu ya ubinadamu wako na ufahamu wako wa mambo ya kawaida ya maisha. Natumaini hutalalama ukisikia Sabaya hakupatikana na kosa la kumtia hatiani.
Tulieni, watu wanarejeshewe tabasamu.Rais Samia, hakika unatuponza! baadhi ya watu hawa tunawafahamu mikasa yao huku mitaani. Huku Bara (Tanganyika) ndo huwa kituo cha uhalifu wa watu hawa. Hawa watu muda hautapita mitaani watatuumiza na tutaomba utueleze unakotupeleka ni wapi?
Tatizo ni ma-tycoon tu ndo wanaotoka; walio mahabusu mwaka wa 13 huu bila hukumu ni wengi na ni wanyonge, mbona hawatoki? Wapo walioingia kwa kesi kama za kina Ruge na Singh, kwa wakati karibu sawa ingawa wao wametangulia, wapo na hakuna hukumu mpaka sasa, nini maoni yako hapa?Mtu unamkalisha ndani tu bila hata kesi kutajwa Sasa si Bora umwachie tu na Kama sivyo kwa Nini ushahidi usitokee ili washtakiwe kwa makosa yao na kuhukumiwa
Tatizo ni ma-tycoon tu ndo wanaotoka; walio mahabusu mwaka wa 13 huu bila hukumu ni wengi na ni wanyonge, mbona hawatoki? Wapo walioingia kwa kesi kama za kina Ruge na Singh, kwa wakati karibu sawa ingawa wao wametangulia, wapo na hakuna hukumu mpaka sasa, nini maoni yako hapa?
Sahihi, kwahiyo kinachofanyika sasa ni nini? Kurudisha mzunguko wa fedha mtaani?Wote wanaotuhumiwa wapewe dhamana na iwe ni sheria kwamba tuhuma zote zinadhaminika.Pia polisi wasikamate watu ikiwa hawana uthibitisho wa kutosha kesi kusikilizwa na kumalizwa kwa muda mfupi.
Ni katika kipindi cha siku 100 madarakani, Rais anaachia wahalifu kwa sababu anazozijua. Baadhi ya wahalifu wamekuwa mahabusu tangu awamu ya 4 ya Kikwete wakati Rais Samia akiwa ni waziri tu!
Je, ni kweli katika siku 100 ameweza kugundua watu hawa walionewa? Kweli rais wetu anaamini serikali zote zilizopita hazikufahamu undani wa watu hawa isipokuwa yeye?
Rais Samia, hakika unatuponza! baadhi ya watu hawa tunawafahamu mikasa yao huku mitaani. Huku Bara (Tanganyika) ndo huwa kituo cha uhalifu wa watu hawa. Hawa watu muda hautapita mitaani watatuumiza na tutaomba utueleze unakotupeleka ni wapi?
Hivi wakati tunasema hatuna raisi mlikua mnatuona mazezeta? Mtu kahukumiwa miaka yote hii et leo hana hatia, yani sitaki hata kumsikia huyu Mwanamke , Anatuletea majambazi yaendelee kutumaliza vzur
Na angekuwa aliyeumizwa na hao watu ni dingi yako ungefurahia wao kuwa huru?Angekuwa ameachiwa dingi yako ungelalamika? Mwacheni Rais afanye kazi yake kwa uhuru, hakuna taifa limeendelea kwa kujaza watu ndani bila sababu za msingi.
Mbona hujapeleka ushahidi mahakamani? hata sasa una nafasi jinai haifi mkuuNa angekuwa aliyeumizwa na hao watu ni dingi yako ungefurahia wao kuwa huru?
Huku ndio kujitoa ufahamu, yaani bado hujui kuwa hao viongozi wenye akili nao huwa wanakufa na wanaweza kutangulia wao?!? Mifano haijakutosha!Unasema miaka 9! viongozi wenye akili wanakuacha ufie huko huko!
Naunga mkono hoja mkuu,,Ni katika kipindi cha siku 100 madarakani, Rais anaachia wahalifu kwa sababu anazozijua. Baadhi ya wahalifu wamekuwa mahabusu tangu awamu ya 4 ya Kikwete wakati Rais Samia akiwa ni waziri tu!
Je, ni kweli katika siku 100 ameweza kugundua watu hawa walionewa? Kweli rais wetu anaamini serikali zote zilizopita hazikufahamu undani wa watu hawa isipokuwa yeye?
Rais Samia, hakika unatuponza! baadhi ya watu hawa tunawafahamu mikasa yao huku mitaani. Huku Bara (Tanganyika) ndo huwa kituo cha uhalifu wa watu hawa. Hawa watu muda hautapita mitaani watatuumiza na tutaomba utueleze unakotupeleka ni wapi?
Wewe ndo umenifumbua macho: sasa naona vizuri. Kumbe hii yote ni smokescreen kuhalalisha uamsho kuachiwa!!! Yaani tuone anaachia kwa niya njema! Haya! Asante JF!Ukifatilia vizuri hakuna haki inatendeka ni mkakati tu ambao unalengo nyuma yake.
Ili waachiwe uhamsho ilibidi waachiwe na wengine ili kuonekana usawa upo, kuna watu kadhaa ndo walikuwa 🎯 ila imebidi kufanya hivi inavyofanyika ili kusafisha.