Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado macho hayajafunuliwa. JPM alituonesha maana ya serikali na rais. Siyo hawa wanaopokea wageni ikulu. Eti sasa mawaziri ni wapokeaji tu wa wageni kuwapeleka Ikulu.mwendazake ametufunua macho sheria zetu ni za kikoloni sana ni za kuangaliwa upya,,huezi kumzuia mtu miaka isiyojulikana bila ushaidi wa tuhuma
Tumeshafahamishwa boss! Karibuni achia achia itakoma maana ni kufunika maneno baada ya uamsho kuachiwa. Ni kuonesha ni zoezi zuri, limewagusa wengi, kumbe liliwalenga uamsho tu!Tulieni, watu wanarejeshewe tabasamu.
Ukiishi kwakua raia mwema atakupeleka nani kule? Wewe mbona hujapelekwaBasi zamu ya hao UHAMSHO kutoka jela,,atapelekwa baba yako akale kongoro kule ukonga