Yes ilo ndio la msingi, wale watanzania wenzetu, serikali ilikuwa sawa kuwaweka ndani kwa maslai ya muungano wetu,Wala si kwamba walikuwa magaidi,
Walichokuwa wanakifanya ilikuwa Ni makosa makubwa kwa mujibu wa katiba,kwaiyo hakuna Rais ambae angekaa kimiya kwa kipindi kile asichukue hatua ,ilhali alishaapa kuulinda muungano,
Waliwekwa ndani ili wajifunze kutii mamlaka, na kwa muda waliokaa nadhani kwakuwa watu wazima washajifunza sio kila kitu cha kushupalia, vingine vina maslai ya kiusalama katika Nchi, acha Sasa wakaungane na familia zao, na Tumuache mama aongoze Nchi kwa Haki, ili tupige hatua kimaendeleo, Taifa lenye kudumisha Haki Mungu huwa anaribariki