Bado macho hayajafunuliwa. JPM alituonesha maana ya serikali na rais. Siyo hawa wanaopokea wageni ikulu. Eti sasa mawaziri ni wapokeaji tu wa wageni kuwapeleka Ikulu.
Btw., Unafahamu Julian Assange amekaa mahabusu miaka mingapi? Unajua yuko wapi sasa hivi? Hiyo ndo serikali.
Tumeshafahamishwa boss! Karibuni achia achia itakoma maana ni kufunika maneno baada ya uamsho kuachiwa. Ni kuonesha ni zoezi zuri, limewagusa wengi, kumbe liliwalenga uamsho tu!