minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Hutakaa upate Uongozi kwa Akili hizo maana mungu anapenda uishi miaka mingi akikupa Uongozi utaanza udikiteta na matokeo yake utaishia kufa kwa pressureNarudia tena, mna bahati! Mark my word!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hutakaa upate Uongozi kwa Akili hizo maana mungu anapenda uishi miaka mingi akikupa Uongozi utaanza udikiteta na matokeo yake utaishia kufa kwa pressureNarudia tena, mna bahati! Mark my word!!
Kwa tuliosoma mpaka darasa la saba H, swali lako lina tungo tata😂😂Huyu ni msemaji wa serikali au mchambaji wa serikali?
Narudia tena, mna bahati! Mark my word!!
Tundu Lssu anaingiaje kwenye hili risasi apigwa kwa order kutoka juu lakini mungu kamuokoaHayaaa! nani amemuona tundu hapo nyuma anapata mgawo
Wameshinda nini?
Tanzania ikinunua ndege kesho Marekani Kaburu Stein hawezi kuingikia manunuzi hayo na kuizuia ndege?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna sheria na mikataba mingine kibao tu inayoweza kuhusika.Hawezi USA siyo mwanachama wa hiyo takataka ya British commonfuckingwealth!
Ni bilioni ngapi za taifa la wajinga mmelipaNdugu zangu,
Takribani majuma mawili yaliyopita Waziri wa Mambo ya nje Prof.Palamaganda Kabudi aliutaarifu Umma kutokea Dodoma siku ambayo Rais Magufuli alikuwa na kazi ya kikatiba kuwaapisha mabalozi wetu.
Prof.Kabudi alimuelezea rais huku akieleza jinsi ambavyo wananchi wa Tanzania watauchukua ushindi dhidi ya kaburu Stein kwa mara nyingine baada ya ''kumcharaza'' katika mahakama ya Gauteng kule bondeni (Afrika ya kusini).
Aliyekuwa wa kwanza kubeza ni Ndugu Membe huku akiaminisha umma kuwa Prof.Kabudi hatafanikiwa, akishauri kuwa njia pekee ni kumuita mkulima Stein kwenye meza na ''kumlipa chake. Ajizi nyumba ya njaa naye Tundu Lissu na Fatuma Karume wakauvagaa mkenge huku akiwa hawana uzoefu wowote na mashauri katika korti ya kimataifa, walijaribu kuwaapooza wafuasi wao ambao walikuwa wenye hasira nyingi baada ya kushauriwa vibaya kujitoa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Bila kuchelewa, wafuasi wa CHADEMA na wanasiasa hao wakaivagaa mitandao huku wakionesha dharau kwa Prof.Kabudi na Watanzania, wakisema Mkulima Stein ni ''kiboko'' wakiowanukuu Lissu,Fatuma na Membe.
Wanasheria wetu wazalendo walinyamaza kimya huku wakiandaa hoja za kumshinda ''Mkulima Stein'' kortini. Kwa hoja zilizotolewa kortini hatimaye siku mbili zilizopita Mahakama ya Canada iliipa Tanzania ushindi kwa mara nyingine tena huku ikiweka ''precedence'' kwa siku zijazo.
Nimalize tu kwa kusema, Hongereni wananchi wazalendo wa Tanzania, Mmeshinda tena!
💩Walivyo wanafiki hata kuomba radhi kwa uchochezi wao hawataki
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamanda aibu imewapataAcha ushamba wako ujue watanzania siyo wajinga hakuna asiyejua kuwa chanzo cha hili sakata ni profeselii Kabudi kubuni Mbinu za kumdhulumu mkulima wa kizungu kwa kutengeneza mazingira ya kumfukuza Nchini ili wapate kumdhulumu kirahisi kwa njia haramu, Yaani watengeneze Tatizo wao kwa kisingizio cha uzalendo kisha watake watanzania wenye Akili timamu waone huo ni uzalendo? , acheni dharau kwa watanzania Tambua kuwa watanzania wana Akili nyingi kuliko nyinyi watetezi wa CCM mitandaoni.
Kamanda jenga hojaNa ndiyo maana utaozea humu kwenye kibanda chakoView attachment 1291646
Sent using Jamii Forums mobile app
Anyway, tuwe wakweli tu. Nakala ya hukumu ya South Africa ilizungushwa kwenye mawasapp na mitandao immediately. Wekeni na hiyo hukumu ya Canada kukata mzizi wa fitna.Kamanda, hata SA mlisema hivyo hivyo, tumewazoea kwa kujifariji
Tatizo lako kila kitu ni ligi. Mkulima anakuja TZ kwa maongezi.Mkulima wa kizungu kalipwa pesa zake kwa siri wamemuomba awe kimya ili wao wajimwambafy lakini mkulima kapewa chake
Kosoeni kwa nia ya kujenga sio mpaka mnaonekana watoto wa washirikina.Kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali kwa kila kitu kidogo kikubwa matukio hawatakiwi kuacha chochote kile popote Nchini, usiwapangie cha kukosoa lazima wapite na mapungufu yote mda wote.
Heri yako wewe uliyepata uteuzi kwa Mzee Lowassa halafu baadae kwa Kaka Freeman.Kawadake panzi kwenu hapa mitandaoni hapakufai maana tangu ulipoanza kujikomba hujapewa uteuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma komenti zangu uzielewe. Usikurupuke dogo!
Acha uongo kamandaAnyway, tuwe wakweli tu. Nakala ya hukumu ya South Africa ilizungushwa kwenye mawasapp na mitandao immediately. Wekeni na hiyo hukumu ya Canada kukata mzizi wa fitna.
Huyu kijana yeye hulipwa kwa idadi ya matusi si hojaSoma komenti zangu uzielewe. Usikurupuke dogo!
Inawezekana.