Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Umeelewa!Mama Luxen inaelekea amepata mtu anayeweza kumtunza "akajitosheleza".
Baba Luxen wewe jibebe tu kwanza kwa muda huu. "Ukishajitosheleza" basi Mama Luxen atarejea na mtaendelea na maisha.
Hahaha kwani Mimi naprint pesa?Sasa mkuu ata buku 5 ya mboga unashindwa kuacha nyumbani unategemea mtoto wa watu aishi vp
Kila siku hazifananiSasa mkuu ata buku 5 ya mboga unashindwa kuacha nyumbani unategemea mtoto wa watu aishi vp
Zilizoshikiliwa na shekelimama luxen bado anatapatapa. Komaa tafuta hela huyo mwanamke bado anazo chembechembe za upendo
Kabla hujaingia kwenye ndoa. Lazima uhakikishe kuwa ukifulia sana atleast 5k unaacha nyumbani. Not lessHahaha kwani Mimi naprint pesa?
5k bado nyingi sana kama kila kitu kipoKabla hujaingia kwenye ndoa. Lazima uhakikishe kuwa ukifulia sana atleast 5k unaacha nyumbani. Not less
Kuna changamoto za maisha yes. But sio kuididimiza familia kiasi hiko
Hahahaha vijana mkioa mtaelewa5k bado nyingi sana kama kila kitu kipo