Kuachwa kunaumiza sana, asikwambie Mtu

Kuachwa kunaumiza sana, asikwambie Mtu

Wewe ni jinsia gani...!Kama ni ke utakua below 25 ukija kukua utaielewa zaidi Maisha hayapo tunavyoyawaza Maisha yapo tunavyoya face kwenye uhalisia usishangae huyu jamaa pengine alikua na kazi nzuri Maisha mazuri ila Mambo yakaja badilika na always Maisha yapo hivyo ups en down ndio definition halisi ya Maisha wanawake wa sasa ni tofauti sana na mama zetu

Mama zetu walikua na mioyo kikubwa Sana ya uvumilivu haijalishi mwanaume utapitia changamoto zipi iwe kukosa kazi kuuimba kimaisha atakusaidia mpambane mtoke kwenye Ile Hali tofauti na mama luxen yeye mwenzake anapitia changamoto ya kipato yeye badala ya kumtia moyo anamuongezea mawazo na kumkatisha tamaa zaidi Tena kwa maneno ya fedheha eti umeshindwa kunihudumia nafeel vile mwamba anai feel iyo kauli japo sio Mimi
Unahoji jinsia yangu; Mimi ni Me nina ndoa ya zaid ya miaka 7 ups and downs za ndoa nazijua halafu mwanamke ni kadri utakavyomzoeza toka unamuoa

Nimesema hivo kwa sababu gani?
Hiyo couple wanapitia kipindi kigumu katika maisha ya kiuchumi sio kihisia tofautisha vitu hivyo.
Wanandoa hawa inaonekana mwanzoni waliishi maisha ya kupata karibia kila kitu mwanaume alitimiza mahitaji ya mwanamke kwa wakati sasa mambo yamekua tofauti mwanamke anaomba amuachie mwanaume chance ya kubaki pekeake ili aweze kujipanga aweze kurecover pengine labda majukum ya kifamilia ndo yanafanya akose hata pesa ya balance ndani.
Wangekua wanawake wengine wangeanza vimbwanga hata ile kumuita tu Mme wangu asingeweza kutamka kwahyo kosa lake in kusema ukweli??
 
Hapa ndio nakuja kuamini kuwa wanawake sio watu wa kuaamini kabisa ....


Huyu mwanaume mwenzetu anakimbiwa kisa kayumba kiuchumi ,...

Huyu mwanamke kampendea pesa mwanaume ,na wanawake wa aina hii wako wengi Sana ,ndio maana ndoa hawaziwezi ....
 
Back
Top Bottom