Kuachwa kunaumiza sana, asikwambie Mtu

Kuachwa kunaumiza sana, asikwambie Mtu

Huyo mama Luxen nimempenda bure hakutaka kua mnafiki na kuanza vijisababu ameona awe mkweli hivi kweli mwanaume anaondoka hakuna hela ya dawa wala mboga mpaka atakaporudi ndo mwanamke ajue kupika hapo mwanamke akisema umeshindwa kuhudumia unamlaumu kwa kipi??

Namshauri Baba Luxen amuache mama Luxen arudi kwao wakati anajipanga mambo yakikaa sawa atamrudia tuu.
 
Huyo mama Luxen nimempenda bure hakutaka kua mnafiki na kuanza vijisababu ameona awe mkweli hivi kweli mwanaume anaondoka hakuna hela ya dawa wala mboga mpaka atakaporudi ndoa mwanamme ajue kupika hapo mwanamke akisema umeshindwa kuhudumia unamlaumu kwa kipi??

Namshauri Baba Luxen amuache mama Luxen arudi kwao wakati anajipanga mambo yakikaa sawa atamrudia tuu

Mkuu acha kuwa na roho ya kike,mwanaume kukwama siku moja moja siyo issue,au unafikiri anaweza kukosa wiki nzima hela ya mboga? Hapo tatizo ni huyo mwanamke hana uvumilivu na mimi siku zote nitaendelea kusema wanawake ni vigeugeu kwenye mahusiano ndiyo maana hawaishi kupigwa matukio. Hapo anakimbilia kwa jamaa aliyejichanga miaka mitano anamlisha mwezi mmoja hela inakata na mimba juu ndiyo atajua hajui
 
Nimeikuta mahali hii kitu, jamaa anaachika LIVE kisa maisha yamekua magumu.

Wanawake Mungu anawaona.....

View attachment 2051946
Dah pole sana baba Luxen ila kimsingi tafta mawe tu! Hawa dada zetu mnaooa kwa mbwembwe za mishahara ya kampuni binafsi ni wa kuwa nao makini sana. Kazi ikiisha na mapenzi yanaisha kama hivyo.

Nilishawaonya sana humu ukiona mwanamke wako anakupendea huduma usioe. Oa mwanamke ambaye anakuwa na contribution ya dhati katika kile ambacho mnakijenga haswa maisha yenu. Mwanamke wa kujisemea we ndio mwanaume uhudumie kila kitu anashindwa kuchangia hata luku siku ukikwama umeme ambao wote mnautumia ni balaa!
 
Huyo mama Luxen nimempenda bure hakutaka kua mnafiki na kuanza vijisababu ameona awe mkweli hivi kweli mwanaume anaondoka hakuna hela ya dawa wala mboga mpaka atakaporudi ndoa mwanamme ajue kupika hapo mwanamke akisema umeshindwa kuhudumia unamlaumu kwa kipi??

Namshauri Baba Luxen amuache mama Luxen arudi kwao wakati anajipanga mambo yakikaa sawa atamrudia tuu
Idea nzuri ni kumpeleka home akasalimie kwanza ndugu zake
 
Mkuu acha kuwa na roho ya kike,mwanaume kukwama siku moja moja siyo issue,au unafikiri anaweza kukosa wiki nzima hela ya mboga? Hapo tatizo ni huyo mwanamke hana uvumilivu na mimi siku zote nitaendelea kusema wanawake ni vigeugeu kwenye mahusiano ndiyo maana hawaishi kupigwa matukio. Hapo anakimbilia kwa jamaa aliyejichanga miaka mitano anamlisha mwezi mmoja hela inakata na mimba juu ndiyo atajua hajui
Bahati mbaya hatujaambiwa kwamba mwanaume amekosa kwa siku ngapi, ukiona mpaka mwanamke amelaumu hivyo ujue ni jambo ambalo linashirikiana mara kwa mara (si lazima iwe kila siku)
Hapo hata baba Luxen mwenyewe anakiri kua saiv ameshindwa kutosheleza kimahitaji kwani akimruhusu huyo mwanamke akaenda kwao kuna ubaya gani?? Make akiwa mwenyewe ataweza kusave pesa ambazo angeweza kuacha kama matumizi akisave kama mwezi mmoja au miwili baadae akamrudisha mkewe atapungukiwa nini?? Sometimes kuna kurudisha mpira kwa kipa mambo yakiwa magumu la sivyo anaweza kumkosa huyo mama Luxen na pesa pia akakosa sijui kama unanielewa???
 
Nimeikuta mahali hii kitu, jamaa anaachika LIVE kisa maisha yamekua magumu.

Wanawake Mungu anawaona.....

View attachment 2051946
Njia ya muongo huwa ni fupi sana na Haya ndio madhara ya kuanzisha mahusiano kwa kutumia uongo

Ona sasa mtu mzima unadhirika mchana kweupe kumbe hata

uwezo wa kulipia kodi ya nyumba huna,

Uwezo wa kuacha hela ya kula huna

Uwezo wa kulipa bili za Maji umeme hunaaa

Broo ingekuwa Mimi ningeachia ngazi
 
Aiseeh wakuu hela ni ya msingi sana kwenye mahusiano siku hizi....yani hata mapenzi yawe ni ya ukweli hela pia inayashikilia
Hakuna mpz bila ya pesa .Pesa ndio mpango mzima kaa na mapenzi yako mimi na pesa zangu huyo kuku wa kufuga nyumbani anataka pesa kama huna pesa hakuna mapenzi.
 
Huyo mama Luxen nimempenda bure hakutaka kua mnafiki na kuanza vijisababu ameona awe mkweli hivi kweli mwanaume anaondoka hakuna hela ya dawa wala mboga mpaka atakaporudi ndo mwanamke ajue kupika hapo mwanamke akisema umeshindwa kuhudumia unamlaumu kwa kipi??

Namshauri Baba Luxen amuache mama Luxen arudi kwao wakati anajipanga mambo yakikaa sawa atamrudia tuu.
Wewe ni jinsia gani...!Kama ni ke utakua below 25 ukija kukua utaielewa zaidi Maisha hayapo tunavyoyawaza Maisha yapo tunavyoya face kwenye uhalisia usishangae huyu jamaa pengine alikua na kazi nzuri Maisha mazuri ila Mambo yakaja badilika na always Maisha yapo hivyo ups en down ndio definition halisi ya Maisha wanawake wa sasa ni tofauti sana na mama zetu

Mama zetu walikua na mioyo kikubwa Sana ya uvumilivu haijalishi mwanaume utapitia changamoto zipi iwe kukosa kazi kuuimba kimaisha atakusaidia mpambane mtoke kwenye Ile Hali tofauti na mama luxen yeye mwenzake anapitia changamoto ya kipato yeye badala ya kumtia moyo anamuongezea mawazo na kumkatisha tamaa zaidi Tena kwa maneno ya fedheha eti umeshindwa kunihudumia nafeel vile mwamba anai feel iyo kauli japo sio Mimi
 
Back
Top Bottom