Kuachwa kunaumiza sana, asikwambie Mtu

Unahoji jinsia yangu; Mimi ni Me nina ndoa ya zaid ya miaka 7 ups and downs za ndoa nazijua halafu mwanamke ni kadri utakavyomzoeza toka unamuoa

Nimesema hivo kwa sababu gani?
Hiyo couple wanapitia kipindi kigumu katika maisha ya kiuchumi sio kihisia tofautisha vitu hivyo.
Wanandoa hawa inaonekana mwanzoni waliishi maisha ya kupata karibia kila kitu mwanaume alitimiza mahitaji ya mwanamke kwa wakati sasa mambo yamekua tofauti mwanamke anaomba amuachie mwanaume chance ya kubaki pekeake ili aweze kujipanga aweze kurecover pengine labda majukum ya kifamilia ndo yanafanya akose hata pesa ya balance ndani.
Wangekua wanawake wengine wangeanza vimbwanga hata ile kumuita tu Mme wangu asingeweza kutamka kwahyo kosa lake in kusema ukweli??
 
Hapa ndio nakuja kuamini kuwa wanawake sio watu wa kuaamini kabisa ....


Huyu mwanaume mwenzetu anakimbiwa kisa kayumba kiuchumi ,...

Huyu mwanamke kampendea pesa mwanaume ,na wanawake wa aina hii wako wengi Sana ,ndio maana ndoa hawaziwezi ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…