and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Ndugu wazalendo nawasihi kwa Upendo Mkuu Kama unataka Gari nzuri na kwa Bei nafuu ni Bora kuagiza kuliko kujilipua Yard ambako Gari zinakua zimetumika Sana Zanzibar Kisha zinavushwa Bara wanaondoa zile Plate number za kule na kupeleka carwash na kupulizia perfume ukijichanganya imekula kwako. Tofaut Ni kubwa Sana mpaka 8m kutegemea aina ya gari.
NB: nimeuziwa Kluger kwa Bei ya kutupwa kumbe ilianza kutumika Unguja November 2017 ikavushwa Bara September 2020 nimekuja kununua mm kichwa-kichwa. Sasa nimeangalia mtadaoni beforward Bei nafuu/tofauti ya 1800USD