Kuagiza Gari nje ya nchi vs Kununua Yard

Kuagiza Gari nje ya nchi vs Kununua Yard

Nifanyeje Mkuu. Kwa sasa nipo na gari huku Kerege
Km ni wahindi wapige beat kwamba unawagungulia mashitaka kwa utapeliJan japan international limited watu wanawaponda bali gari zao ni original
 
Ndugu wazalendo nawasihi kwa Upendo Mkuu Kama unataka Gari nzuri na kwa Bei nafuu ni Bora kuagiza kuliko kujilipua Yard ambako Gari zinakua zimetumika Sana Zanzibar Kisha zinavushwa Bara wanaondoa zile Plate number za kule na kupeleka carwash na kupulizia perfume ukijichanganya imekula kwako. Tofaut Ni kubwa Sana mpaka 8m kutegemea aina ya gari.
NB: nimeuziwa Kluger kwa Bei ya kutupwa kumbe ilianza kutumika Unguja November 2017 ikavushwa Bara September 2020 nimekuja kununua mm kichwa-kichwa. Sasa nimeangalia mtadaoni beforward Bei nafuu/tofauti ya 1800USD

Used ya mbongo sio used ya ulaya
 
Back
Top Bottom