PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Jangwani Mkuu pale pembezoni mwa ukuta wa jangwani secondary schoolKidongo Chekundu 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jangwani Mkuu pale pembezoni mwa ukuta wa jangwani secondary schoolKidongo Chekundu 😂😂😂
Unachosema ni sahihi lakini bado kuna unafuu Fulani kama utaagiza gari Kwa kutumia kampuni zenye akili kama be forward na SBT Japan...Unapaswa utambue pia kua unaweza kuagiza pia ukakutana na kituko kuliko kununua yard uliza waliowahi kukutana na changamoto hizo
Ukitaka kununua gari kwa Yard za Bongo nenda Jan Japanese wapo vizuri sana..Sorry Mkuu; ni yard hii hapa karibu na fire? Kindly assist manake nina mpango wa kununua pale hvyo utakuwa umenisaidia.
Mdogo wangu ndio kanunua gar hapo iko poa sana.Ukitaka kununua gari kwa Yard za Bongo nenda Jan Japanese wapo vizuri sana..
Wale jamaa kwa Yard zetu hizi za kibongo nadhani ndiyo wanaongoza.. Bei zao hazipishani sana na ukitaka kuagiza. Yard nyingi za Dar wananunua magari kwao.Mdogo wangu ndio kanunua gar hapo iko poa sana.
Kwa hiyo ni kubahatisha?Unapaswa utambue pia kua unaweza kuagiza pia ukakutana na kituko kuliko kununua yard uliza waliowahi kukutana na changamoto hizo
Lazima wafiche document ya TBS maana wanakua wameshachakachua kilomitaUkinunua gari yard kabla ya yote wakupe file kwanza ukague documents
Mi bado namshangaa mtu anayenunua gari kwenye yard za kibongo coz watu wanalalamika wengi[emoji848]Unachosema ni sahihi lakini bado kuna unafuu Fulani kama utaagiza gari Kwa kutumia kampuni zenye akili kama be forward na SBT Japan...
Kuagiza gari kutoka Japan kuna Raha yake Sana
Witness ndiye introvert pekee duniani ambae ni mzururaji wa kila mahali mjini.Introvert pekee asiejifungia ndani.We kweli mtoto wa mjini, unaijua hadi Jan Japanese[emoji15][emoji15][emoji848]
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Makofi kwa Makiseo akeee
We kweli mtoto wa mjini, unaijua hadi Jan Japanese[emoji15][emoji15][emoji848]
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Makofi kwa Makiseo akeee
Chura unasemajeeee?Witness ndiye introvert pekee duniani ambae ni mzururaji wa kila mahali mjini.Introvert pekee asiejifungia ndani.
Bei ghali or?My dear, mi nilinunua kwenye Yard ya mtu ila gari yangu hainisumbui ila tu kwenye bei daah [emoji3][emoji3][emoji3]. Ni siri yangu tu
Bei ghali or?
Yaah hii ndo sababu tunaagiza nje, mi naokoa hadi 3.5m kwa gari husika kulinganisha na bei ya JapanBei ilikuwa ghali aseee...! Ilikuwa 2M more na bei za gari ukiagiza [emoji3064][emoji22]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Nimechekaa..We kweli mtoto wa mjini, unaijua hadi Jan Japanese[emoji15][emoji15][emoji848]
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Makofi kwa Makiseo akeee
Witty umenifungua macho kidogo. Ngoja nikawatembelee kidogoYaah hii ndo sababu tunaagiza nje, mi naokoa hadi 3.5m kwa gari husika kulinganisha na bei ya Japan
Mkuu tupe locationUkitaka kununua gari kwa Yard za Bongo nenda Jan Japanese wapo vizuri sana..
Kuna kituo cha Daladala kinaitwa Mbuyuni upande wa Kushoto kama unatoka Posta. Kabla ya Best bite. Kwa Dar wanapatikana hapo.Mkuu tupe location