Pole mkuu naona wamekuliza, ila ungeuliza huku ungepata msaada mkubwa sana hayo yasingekukutaNdugu wazalendo nawasihi kwa Upendo Mkuu Kama unataka Gari nzuri na kwa Bei nafuu ni Bora kuagiza kuliko kujilipua Yard ambako Gari zinakua zimetumika Sana Zanzibar Kisha zinavushwa Bars wanaondoa zile Plate number za kule na kupeleka carwash na kupilizia perfume ukijichanganya imekula kwako
Nilinunua gari yard pale panapojaa maji kuhamaki kumbe Gari imetumika Unguja miaka 2 Kisha ikavushwa na meli kuja bara ikawekwa Tena yardPole mkuu naona wamekuliza, ila ungeuliza huku ungepata msaada mkubwa sana hayo yasingekukuta
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Wale jamaa wa kushoto pale?Nilinunua gari yard pale panapojaa maji kuhamaki kumbe Gari imetumika Unguja miaka 2 Kisha ikavushwa na meli kuja bara ikawekwa Tena yard
Mkuu naona umeamua kutuharibia biashara sasa
Ni bora angezisema hizo yard zilizomfanyia mchezo huo kuliko kuzihukumu yard zote maana siyo kweli kuwa gari za kuagiza mwenyewe ni bora kuliko za yard kuna sababu nyingi zinapelekea mteja kuamua kununua yard badala ya kuagiza mwenyewe moja kwa mojaMtu akifanya janja janja akawekwa hadharani huyo hajaharibiwa biashara bali anasitishwa kuendelea kufanya janja janja.
Jamii imemuamini yeye hataki kufanya lililo jema kwa biashara nzuri.
Naona umeamua kuchomoa betri tu Sasa!Nilinunua gari yard pale panapojaa maji kuhamaki kumbe Gari imetumika Unguja miaka 2 Kisha ikavushwa na meli kuja bara ikawekwa Tena yard
Mnawaharibia biashara bwanaWale jamaa wa kushoto pale?
Je, huna uchungu na mteja wanayemtapeli?Mnawaharibia biashara bwana
juzi nmepita kwny hyo yard nkakuta kua gari moja wamefungua bonet wanaikorokochoa sjui ilizngua nn. nkajisemea duhh yan gari ishaanza kuzngua akat ipo yard je ikinunuliwa?Nilinunua gari yard pale panapojaa maji kuhamaki kumbe Gari imetumika Unguja miaka 2 Kisha ikavushwa na meli kuja bara ikawekwa Tena yard
Anatusaidia sisi ambao kwa kudra za Mungu tunategemea kutafuta viusafiri vya miguu minne.Mkuu naona umeamua kutuharibia biashara sasa
Asante sana mkuu kwa kutujuzaNdugu wazalendo nawasihi kwa Upendo Mkuu Kama unataka Gari nzuri na kwa Bei nafuu ni Bora kuagiza kuliko kujilipua Yard ambako Gari zinakua zimetumika Sana Zanzibar Kisha zinavushwa Bara wanaondoa zile Plate number za kule na kupeleka carwash na kupilizia perfume ukijichanganya imekula kwako. Tofaut Ni kubwa Sana mpaka 8m kutegemea aina ya gari
Unapaswa utambue pia kua unaweza kuagiza pia ukakutana na kituko kuliko kununua yard uliza waliowahi kukutana na changamoto hizoAnatusaidia sisi ambao kwa kudra za Mungu tunategemea kutafuta viusafiri vya miguu minne.
Subri siku uuziwe wwMnawaharibia biashara bwana
Sorry Mkuu; ni yard hii hapa karibu na fire? Kindly assist manake nina mpango wa kununua pale hvyo utakuwa umenisaidia.Nilinunua gari yard pale panapojaa maji kuhamaki kumbe Gari imetumika Unguja miaka 2 Kisha ikavushwa na meli kuja bara ikawekwa Tena yard
Ulitakiwa ukague documents ikiwemo za inspectionNilinunua gari yard pale panapojaa maji kuhamaki kumbe Gari imetumika Unguja miaka 2 Kisha ikavushwa na meli kuja bara ikawekwa Tena yard